Recent content by keeeyaaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

    Hivi kanuni ya uchumi inasemaje kuhusu kodi? Hapa tunaongelea walipe ama wasilipe kodi? Bado najiuliza
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles John Tizeba

    Waliosoma nje ya nchi na wakiwa wametoka tz na diploma walisoma masters kwa miaka mingi kidogo ambayo inakuwa imechukua degree humo ndani na nchi hii ni wengi tu zaidi walisoma Urusi. Kama unauwezo huwezi soma shule na chuo?
  3. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wawasilisha hoja kwa Spika kumng'oa Naibu Spika Dr. Tulia

    Siwaelewi kabisa ninyi watu, kukata rufaa wabunge waliofukuzwa mkasema hawatatendewa haki, sasa hii ya kumkataa naibu speaker ndo watatendewa haki?
  4. K

    JamiiForums Tanzania N/Spika amesema anasimamia kanuni zilizopo, ambaye hajaridhika na maamuzi akate rufaa

    Kama wameonewa kanuni zinawaruhusu kuyamaliza huko ndani wameshindwa nini? Mimi na wewe pambe tunajuaje wameonewa wakati hatukuona?
  5. K

    JamiiForums Tanzania N/Spika amesema anasimamia kanuni zilizopo, ambaye hajaridhika na maamuzi akate rufaa

    Spika Msomi Dr. Tulia anasema Yeye anasimamia kanuni zilizopo na kanuni hizo hizo zinawapa wabunge nguvu ya kukata rufaaa iwapo tu hawakuridhika na maamzi ya spika. Mimi najiuliza nini kinafanyika Mbunge msomi Lissu, Mdee na wenzao wasipinge Kama walionewa? Mbona wanakimbilia kumsema Rais...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tumechanganywa na nini?

    NANI HAJAMWELEWA MWENZAKE? Mambo ambayo yametokea nchi hii kwa juma hili yanaonekana kuchanganya wengi nami yawezekana ni miongoni mwa kundi hilo ambalo limejichanganya. Baada ya kufuatilia japo si sina nimegundua yafuatayo:- 1. Kundi la wanafunzi toka St Joseph lilirudishwa nyumbani kwa kusoma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tuondolee huyu RC Mulongo mkoa wa Mara

    Mbona hueleweki? Amewavamia?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Niwe na PhD kukubali gharama za mradi wa Daraja la Kigamboni??

    Tanzania amending mchana na consultant ni mmisri ni niambieni hilo daraja la China consultant ni Nani na analipwaje
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi

    PAC itawatumbua
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    Usipende kupotosha na kutafuta huruma zetu, Mbona Akiwa Meru nakumbuka Alimpongeza na kumsifu NASARI?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia Akson - Mjumbe wa bodi ya bandari iliyovunjwa kwa ufisadi

    Hilo ni fumbo ambalo hatulijui kwani nani anajua amehusika vipi kuisaidia serikali kujua uovu au katumia mwanya kujinufaisha. Huenda najiuliza hivi board kuvunjwa ni kiashiria cha wana board kuwa waovu? Na spika harusiwi kuwa mjumbe wa board? Baada ya kujiuliza hivyo nawaza tena Tulia mbona...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Najiuliza Urais ungefaa nini UKAWA?

    Hao wabunge wa ukawa walioshinda ndo wameiba pia au ndo wababe, kwani ile idadi ya madiwani 1020 kwa 200 imetoka wapi. Huo ni ushabiki wa mihemko na siyo fact
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nawapenda UKAWA, ila kwa hili mnadanganya umma

    Yawezekana tukikaribia uchaguzi hakuna lolote linatakiwa kufanyika.
  14. K

    JamiiForums Tanzania ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    Jamani tusisahau kwamba ni makongoro alimwita lowasa mwizi na kibaka tena wote wakiwa ccm watu wakashangilia hasa ukawa leo unalalama nini
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndo timu ya kushangilia bila presha

    Lukaku si mchezaji wa Everton mkuu yy Chelsea kule aliazimwa tu ili acheze kuliko kukaa bench
Back
Top Bottom