Spika Msomi Dr. Tulia anasema Yeye anasimamia kanuni zilizopo na kanuni hizo hizo zinawapa wabunge nguvu ya kukata rufaaa iwapo tu hawakuridhika na maamzi ya spika.
Mimi najiuliza nini kinafanyika Mbunge msomi Lissu, Mdee na wenzao wasipinge Kama walionewa?
Mbona wanakimbilia kumsema Rais? Wanataka awasaidie/afanye nini? Watwambie ukweli sio wafanye fujo kisha walalamike huku nje.