Rais Magufuli kama unataka Mkoa wa Mara uendelee kutawalika tuondolee huyu mkuu wa mkoa wa Mara! sijui mnamuita Magesa.
Magesa amekuja juzi mkoani Mara lakini ameanza kuwa kero. Leo hii akiwa kijiji cha Natta wilayani Serengeti amewaweka lock up wazee wawili kwa majina ni Gemrai Sangi na mzee Mangarai.
Hawa wazee ndo wapinganaji wetu wa kijiji waliungoa utawala wa CCM kuanzia kitongoji hadi ubunge..
Hatukubali kuongozwa kwa uonevu, huku na sisi tuna nguvu! yaani Magesa atushinde nguvu kweli..