Recent content by kdany

  1. K

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    una una penda udini mbuzi ww
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao aina ya pines

    habari, wakuu nauza mbao aina ya pines,zipo mafinga natafuta mteja hasa dar es salaam bei ni nzuri. zipo aina kama ifuatavyo; 1*8 2*4 2*6 2*3 1*6...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za watumishi 2016/2017

    Tatizo la ajira kwa watumishi katika mwaka tajwa inaonekana ni mfupa ulioishinda serikali ya JPM.Hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali iwe Mh.Rais mwenyewe au wasaidizi wake mwenye jibu la uhakika kuhusu swala hili...Mh.Rais mbele ya umma wa watanzania alisema ajira zipo lakini anasitisha kutoa...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada Huru: Ni Mtangazaji yupi anayekuboa zaidi?

    Hv kweli hamjui watu wanaoboa.....YUSUFU KAMONTE ptuuuuu....jamaaaaa simpendi kwanzia roho had sura....utangazaji hovyo kabsa....nackia zitto almuhd ubunge viti maalum
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa makamanda wa CHADEMA?

    Acha uboya ww...unakua kama hukaliagi ombo bnaa....
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Na ww hapo unaona umefanya uchambuz....hv shule zimefungwa au umeiba simu ya watu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha

    Habari wakuu....mi ni muhitimu wa chuo kikuu...nimehitimu Bachelor of Arts with Education...nipo dsm....nafundsha Geography na history..lakin pia kingereza....ninauwezo wa kufundsha English medium schools hadi form six..lkn pia vyuo mbali mbali ngazi ya cheti na diploma....kama kuna nafasi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Kwel noma...kamanda w ndio unajibu haya leo...kweli ukomboz upo njian...najua ccm upo kimwili tu ila ki roho upo ukawa...na hapo kamanda lumumba ndio inawatumia hawa watu...ngoja uone watasema yote...only time matterz now....karibu gamba
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze kuhusu huyu dada mahiri wa uchambuzi anaeitwa Nusrat Hanje

    Kabla ya ku comment hapa huwa unakua umetoka kula mavi eti....au una kipindu pindu tayar
  10. K

    JamiiForums Tanzania Darasa la ujasiriamali

    Mkuu karibu sana....namba n 0719477815 karibu kwenye the success team..
  11. K

    JamiiForums Tanzania Darasa la ujasiriamali

    Mkuu karibu sana....namba n 0719477815 karibu kwenye the success team
  12. K

    JamiiForums Tanzania Darasa la ujasiriamali

    Habari ndugu.... Naitwa morris daudi mtanzania ninaeishi dsm....tuna kampuni yetu ambayo tunatoa mafunzo ya ujasiliamari.....tunafundsha jinsi ya kufanya biashara kisasa....tunafundsha online marketing...ufugaji wa nyuki...kuku...samaki pamoja na kilimo cha uyoga....bila kusahau tunafundisha na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafta material kwaajili ya utengenezaji wa rangi Dar

    km unataka wa ku pm na ww si ungewa pm
  14. K

    JamiiForums Tanzania Semina: Utajiri nyumbani kwako

    Semina! semina! semina Utajiri Nyumbani Kwako: Dar es Salaam, 08/08/2015. Ada ni TSH 15,000/= Kwa mawasiliano: 0719 477 815 Kampuni ya Star Rock ya Ujasiriamali ya jijini Dar es Salaam,inakuletea semina kubwa kwa wajasiriamali itakayofanyika...
  15. K

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Gazeti la Mwananchi ni wapotoshaji, Ukweli wa alichokisema NAPE ni huu (VIDEO)

    hv w zimo zote kweli ww
Back
Top Bottom