Recent content by kazuri kakid

  1. K

    Kivipi wanawake 'wana run' dunia?

    Wanawake tunarunn dunia utake ustakee. Nani alosema hatuwezi na anaanzaje kwamfano?
  2. K

    Wanaume Tusijiaibishe: Eti kuna mchongo unausikilizia hebu toa Pesa

    Wewe huna hela. Kisaikolojia umeshajiumbua... wenye ela awasemagi hataa
  3. K

    Kaninyanyasa kijinsia nawezaje kumshtaki?

    Jamani habari zenu humu ndani. Mimi niko kwenye mausiano na baba mmoja na nina muda naye mrefu tu. Tulikubaliana tusizae ni kuhook up tu pekee, jana tulikutana na alininyanyasa I can say so coz ilikua nje ya makubaliano yetu. Tulikubaliana asikojolee ndani ukizingatia nilikuwa kwenye siku...
  4. K

    Wanaume wanene fanyeni mazoezi, show zenu mbovu

    Yaan huyo mbaba ana kazi yake nzuri tu na huwezi mdhania hata kidogo. Hivi jamani mtu kuwa busy na kazi ndiyo usifanye hata mazoezi japo yale yakutembea? Mmh madogo yana unafuu. Ndo nn sasa unamwaga then unakoroma kama jenereta bovu jamn? Wanaume wenye vitambi tunawavumilia mno fanyeni mazoezi...
  5. K

    Mbunge Jerry Silaa aangua kilio bungeni baada ya kumaliza kuchangia mjadala

    Don kama huyo hawezi kulia kwa sababu ya kutishiwa kuachwa na kitu kinachoitwa mwanamke
  6. K

    Mbunge Jerry Silaa aangua kilio bungeni baada ya kumaliza kuchangia mjadala

    Mjinga ni wewe. Watu wana uchungu na nchi we' unaongea upuuzi.
  7. K

    Hivi nyie wanaume!mnawatambua vipi watoto wenu wa kiume wa kuwapa siri zenu wawatunzie?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. K

    Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

    Kabisa, asa sie wenye miili minene kidogo, yaani tuna roho nyeupee pee hata maofisini hatunaga unafiki wala fitna
  9. K

    Hivi nyie wanaume!mnawatambua vipi watoto wenu wa kiume wa kuwapa siri zenu wawatunzie?

    Helloo.jamani natumaini mnaendelea vizuri wote,sasa kilichonileta ni kutaka kujua kua: katika familia mara nyingi wanaume humchagua mtoto mmoja wakiume miongoni mwa watoto wengine. Huyu kazi yake uwa ni moja tu ya kumueleza siri zake,naye kumtunzia na katu hata mama ake hamuambii!! Je...
  10. K

    Nimepata mchumba kutoka kusini Masasi ni mmakua

    Hello,natumai wotee ni wazima wa afya njema kabisa Nahitaji kufaamishwa tabia asa za hawa wanaume kutoka mkoa wa mtwara wilayani masasi Please naomba nifaamishwe,
  11. K

    Baba yangu alichanganyikiwa au?

    Nawasalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi nimezaliwa familia ya kawaida tu, baba yangu alikuwa mwalimu ila aliacha kazi bila sababu za msingi. Nina dada zangu ila wote hawajafanikiwa kimaisha. Huyu baba tukimuulizaga kwanini hakujiwekeza ujanani na wakati alikuwa na uwezo...
  12. K

    Jamani naombeni mnipe maneno ya kuombea msamaha...

    Mko pouah? Mimi nina mpenzi wangu tuna miaka 3 sasa, ni naibu waziri wa wizara Fulani apa nchini. Sasa jana asubuhi ulitokea ugomvi baina yetu, kwa hasira ktk kujitetea nikamuwai kwenye kende zake, nikampiga kateke kadogo tu,akaanguka.nikajua nimeua. Sikuweza kurudi mpaka mda huu na niliondoka...
  13. K

    Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

    Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu. Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo...
Back
Top Bottom