Recent content by Kazuna

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

    Hata kama atakazwa na nunda mwingine, ila basi sehemu yangu nitakuwa nimefanya jamaa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

    Jamaa anakuwa kijeshi jeshi kutwavnzima, halafu anatarajia pafomansi kitandani, kama siyo wendawazimu ni nini! Jinga kabisa, subiri akutane na wa romantiki sasa, mfyuuuu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

    Hiyo ni ushamba zaidi, kuwa romantiki inaboresha mahusiano, ujeshi jeshi siyo ishu kabisa, na hiyo inaweza sababisha kumong'onyoka kwa penzi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Historia ya neno Msela na Baharia

    Kumbee...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Historia ya neno Msela na Baharia

    Aisee....
  6. K

    JamiiForums Tanzania Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

    Doh!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna ugumu kiasi hicho wa kumkojoza mwanamke?

    Uko sahihi mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniomba elfu30 nifanyeje?

    Mwambie huna
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya michepuko wake za watu na michepuko single ladies

    Bwahahaaaa......send off ya kubadili cheo😃😃😃, umetisha funzadume
  10. K

    JamiiForums Tanzania ITV MUBASHARA

    Dah! Kweli huo ndiyo mwisho wa mwanadamu. Mungu atujaalie kuzihesabu siku zetu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Meseji za kutisha kuliko zote kwenye mahusiano (huua mahusiano chapu)

    Mimi na wewe sasa basi..... halafu uwe haukujiandaa kisaikolojia, utahisi kuharisha haki Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyumbani hatimaye!!! Kina nani tunafuatilia hotuba hizi?

    Pole sana Bujoro, jifunze siku kwa siku ni hakika hutojuta Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nyumbani hatimaye!!! Kina nani tunafuatilia hotuba hizi?

    Umefanya vyema kuanzisha uzi huu, ni hakika wengi watakaoamua kusikiliza Morning star radio FM 103.5 Hope Channel Tz. Lakini pia waweza pakua application ya TAMC kutoka Play store hiyo app itakupa vitu vyote hivyo. Karibuni tubarikiwe! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom