Tatizo ya benki yetu yanacharge APR kubwa (20%>)na kibaya zaida lazima uwe na colateral ni watu wangapi wa na hati za viwanja au watu wangapi wako tayari kuweka mali zao rehani kwa ajili ya masharti magumu,halafu mikopo haikatiwi bima kumlinda mkopaji pengine ikitokea amekufa au amefisika.
BA pamoja na kuwa na ndege nyingi wanatumia washonaji wa ndani ya nchi !!, Inakuwa je sisi tunaotumia ndege za kukodi ,matumizi yetu yanakuwa makubwa hivyo?
Tatizo baadhi yao walikopa pesa nyingi kwenye mabenki na kwa watu binafsi kwa ajili ya kugobea ubunge wakithani wakiingia mjengoni watafanya madili, hawajua kuwa wananchi tumeisha funguka akili tunawafatilia kila walitendalo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.