maana yake ni mkulima na mfanyakazi hawaruhusiwi kuingia huko na ndiyo maana jembe (mkulima) na nyundo (mfanyakazi) vimewekwa kwa style ya X!!!!............ are you there??
Huu ni ukweli mtupu. Kikwete mwenywe alikataa kura za wafanyakazi.
maana yake ni mkulima na mfanyakazi hawaruhusiwi kuingia huko na ndiyo maana jembe (mkulima) na nyundo (mfanyakazi) vimewekwa kwa style ya X!!!!............ are you there??
Teh teh teh........tuongeze na paja la kuku katikati kuonyesha jinsi tulivyoboresha maisha ya watanzania! Sasa maisha ni bora kwelikweli haswa katika hii awamu wenyewe wanayoiita ya nne au ya "Maisha Bora" maana walipoingia kilo ya mchele iliyokuwa ikiuzwa Sh. 200/= sasa wameiboresha na kuwa 2,000/=, sukari toka Sh. 400/= hadi sasa 3,000/=, Bia chupa iliyokuwa eti sh. 600/= sasa bei imeboreshwa na kuwa 1,500/= ...OOOh nimesahau imeboreshwa zaidi wiki hii ambapo sasa inauzwa kwa bei bora zaidi ya 2,000/= kwa chupa na nasikia hadi ifikapo 2015 itafikia Sh. 5,000/= kwa chupa. CCM Hoyeeeeeeee!Kutokana na nembo ya CCM ya jembe na nyundo kukosa uhalisia pamoja na kutosadifu matendo ya chama hiki kikongwe nchini Tanzania,napendekeza badala ya Jembe na nyundo naomba tuweke Kijiko na Uma ili nembo hii isadifu matendo ya chama hiki.Wanachama naomba mniunge mkono vilevile mnaweza kutoa mapendekezo yenu juu ya hili.Naomba kuwasilisha.:A S embarassed::lol:
Ni vema wakaongeza na picha ya noti ili iwe jembe,nyundo na noti,Kutokana na nembo ya CCM ya jembe na nyundo kukosa uhalisia pamoja na kutosadifu matendo ya chama hiki kikongwe nchini Tanzania,napendekeza badala ya Jembe na nyundo naomba tuweke Kijiko na Uma ili nembo hii isadifu matendo ya chama hiki.Wanachama naomba mniunge mkono vilevile mnaweza kutoa mapendekezo yenu juu ya hili.Naomba kuwasilisha.:lol: