Mechanism uliyotaka kuvitumia kwenye context ya swali hili umechemka kasome jibu la mtu wa kwanza kabisa liko Waz hii concept Ni ya physics Zaid na sio bios kma unachotaka kuforce. Nimekuuliza kma vitundu vipo na ndio vinavyopitisha maji kwann maji hayaishi kweny chupa ? Ukumbuke mwili wa...
Ulichoandika kinasomeka Ila sijakuelewa kidogo hivyo Nina maswali natamani unipatie majibu ili niweze kuelewa vizuri kwenye jibu lako,
1:Je hayo matundu yaliyo kwenye chupa yanatoa maji wakat yakiwa ya baridi tu?maana maji yakiwa kwenye normal temperature kma tununuavyo dukani hutoona huo mvuke...
Hahahahahaha mwanga niliopata uliangazia njia nikapata general concept nikawa nimeelewa jumla kwamba yanatokea wap, kiufup nilikuwa nataka pakuanzia na alichoandika kilinipa majibu ndio maana nikamaliza kwa kusema Asante.
Habari ya muda huu wanajamii,
Nina jambo linanichanganya kidogo naomba ufafanuzi kwa anayefahamu. Hivi ule mvuke unaokuwa unachuruzika kwenye chupa ya maji ya baridi huwa unatoka wapi na kama umewahi fanya utafiti kama maji ni ya baridi sana na ukaiweka.
Hiyo chupa kwenye chombo kingine kama...
Tumia mguu wa kwanza na watatu utabaini pozi namba moja baada hapo tumia mguu wa pili na wa mwisho utaona pozi lingine tumia style hyo hyo hata kweny mikono pia utagundua hayo mapozi yanayosemwa hapo
Hahahahaha kimsingi yanaweza fika kwasab mm Sina utaaramu wowot lakin nimefanikiwa huyaona mapozi 7 kwa haraka , kwa kutumia tu kuunganisha miguu na kichwa kimoja kimoja baadae nikaunganisha mkono mmoja na mwingine kwa kuitofautisha Kisha Tena nikaunganisha mguu mmoja na mguu mwgne yaan utaona...
Yaan hawa jamaa sijui watabadilika lini unapoangalia bongo movie ni sawa na kupoteza muda nliona moja heti kaweka sumu kwenye chakula halafu akaonja kma imekolea ni shida
Kama binadamu wakwanza aligunduliwa kuwa alikuwa ni mtu aliyeishi bara la Africa lakini pia katika East Africa tena ni ndani ya nchi ya Tanzania ndivyo waandishi wa vitabu mbalimbali vya kidunia wasemavyo je ADAM na EVA/HAWA walikuwa wabongo?
Maoni yako au msaada wako katika hilo kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.