Bongo Movie mnakera, kwanini hambadiliki?

Bongo movie wanasema filamu za mahausi girl.!
iv najiulizaga kwanini wasiungane wafanye kitu kimoja kizuri navyosena kizuri namaanisha kuanzia script iwe ya kueleweka sio script inatosha daftari la mtoto wa chekechea tena like la vibox. Je tukisema tuangalie move na kutafuta kitabu cha hio move bongo move hio kitu ipo?. Wapo watu wenye kuandika script nunueni script hawajui mayo hio ni fani za watu tena majuu wanaheshimika sana. Sio mtu anaamka anachukua kamera anaelekea morogoro Mara posta utafikifi wanaenda kushoot video ya kwaya alafu akitoka hapo utasikia Nimefungua kampuni yangu!! dah seriously yani vikamera viwili na tuzagazaga kadhaa tuu wnawaza kufungua kampuni
 
Tatizo Lao wanafanya kazi kwa kulipua,
Filamu wanashoot wiki moja, inayofuatia sokoni tayari!
Hollywood kuna filamu zinatengenezwa mwaka mzima, ikija kutoka, huko Box Office Ni balaa!
Unazungumzia wiki kuna muvi ilishutiwa masaa 6 ngoja niitie kapuni ila wahusika kama wako humu washaijua kina single mtambalike
 
Jamani tumeponda mno.

Sasa nini kifanyike ili kama mhusika yeyote wa hizo muvi atapita huku achukue maushauri.

Ushauri wangu
Kuwe na platform flan kama jamii forum or something else, ambapo movie mpya ikitoka inarushwa humo, kwa ambao wameshaiona wanacomment mapungufu yake na strength yake, then wahusika wanachukua for the purpose ya next movie.
Angalizo, every criticism waichukulie positive
 
iv najiulizaga kwanini wasiungane wafanye kitu kimoja kizuri navyosena kizuri namaanisha kuanzia script iwe ya kueleweka sio script inatosha daftari la mtoto wa chekechea tena like la vibox. Je tukisema tuangalie move na kutafuta kitabu cha hio move bongo move hio kitu ipo?. Wapo watu wenye kuandika script nunueni script hawajui mayo hio ni fani za watu tena majuu wanaheshimika sana. Sio mtu anaamka anachukua kamera anaelekea morogoro Mara posta utafikifi wanaenda kushoot video ya kwaya alafu akitoka hapo utasikia Nimefungua kampuni yangu!! dah seriously yani vikamera viwili na tuzagazaga kadhaa tuu wnawaza kufungua kampuni

Ushauri wa pili huo hapo juu.

Wanunue script.

Yan tena hapa ni ziro kabisa
Unaweza kukuta actor ni mzuri sana, kama akina jb, shamsa ford lakini story sasa, ya kijinga kabisa, ya ajabu ajabu tu
 
Tangu nilipoona mzimu unavuka barabara unatazama kushoto na kulia hali yakua watu hawauoni ndo nilipoacha kutazama upuuzi unaoitwa bongo movie.. Maneno holywood
 
Jamani tumeponda mno.

Sasa nini kifanyike ili kama mhusika yeyote wa hizo muvi atapita huku achukue maushauri.

Ushauri wangu
Kuwe na platform flan kama jamii forum or something else, ambapo movie mpya ikitoka inarushwa humo, kwa ambao wameshaiona wanacomment mapungufu yake na strength yake, then wahusika wanachukua for the purpose ya next movie.
Angalizo, every criticism waichukulie positive
Ni kweli glory tatiz hawa jamaa zetu bana nakumbuka wakati fln ivi movie ilikuwa ikiisha wanasena toa naoni yako walkuwa wanaweka namba na email, ikafikia hatua wakaondoa kwa kile walichodai kwamba hawawezi kuproduce ktu ambacho kila mtu ataridhika nacho.

Kwa maan hiyo wao wanajiona ni wajuaji na hawataki comment za mashabiki wao basi ngoja wapambane ambae atakuwa anajitambua na kufanya vzr tutasuport kazi yake.
 
Kuna Bongo movie moja inaitwa MPANGO MBAYA...sijawahi kuona movie bora ya kibongo nyingine zaidi ya hiyo.
 
Saivi atleast JB na Single Mtambalike (Richie) kweli wanajitahidi.
Mtu akifanya vzr kweli namsalute.
 
Hilo la kushindwa kimaintain sauti na background music au effects ndo limenifanya niache kuangalia kabisaaa
 
Kuna makelele ya mziki huku mtu anaongea yani hadi kichwa kinauma, walau muvi za Hemed PHD nlizoona EATV hivi karibuni kwenye sound anajitahidi
 
Kwa Bongo sasa hivi tasnia ya filamu imekuwa ya hovyo kabisa...
Wasanii hovyo, maproducer hovyo!
Walishaambiwa mara kibao kuwa wanachokifanya hakiwavutii watazamaji na mbinu za kufanikisha hilo wanaambiwa, lakini hawa wasanii wanaona wakishatoa sinema moja wakishaonekana kwenye Tv wanajiona superstar!
Hawataki kujiongeza..
Filamu ni shule, wanaagiza kwa mazoea na kucopy!
 
kama jini anavuka barabara anangalia kushoto na kulia,jambazi kuvua viatu kwenye kuvamia
 
Ckumbuki mara ya mwisho ni lini niliangalia muvi zao
Unaangalia filamu inaanza vzr ila mwisho wake waweza pata hasira balaa
 
Yaan hawa jamaa sijui watabadilika lini unapoangalia bongo movie ni sawa na kupoteza muda nliona moja heti kaweka sumu kwenye chakula halafu akaonja kma imekolea ni shida
 
Back
Top Bottom