My girlfriend she is not proud to be with me

My girlfriend she is not proud to be with me

Kwakua lugha uliyotumia sio ya taifa letu, sishangai kuona umekosea. Kwenye hili suala lako, inaonekana wewe ndiye unayempenda zaidi mpendwa wako kuliko yeye anavyokupenda wewe, hii ni hatari kwako. Jitahidi sana kupunguza mawasiliano mf kwa siku mpigie au mu sms si zaidi ya mara 2 kwa siku. Kua bize na shughuli zako pia punguza kuonana naye, jitahidi kwa wiki uonane naye mara 1 au 2. Punguza lawama jitahidi sana kutumia silaha inayoitwa ukimya. Kuhusu vizawadi au pesa, mpe inapobidi lakini usitoe kwa lengo la kupendwa.
 
Dah google translator ni kiboko yao wadhungu " maana kuna wadhungu na wazungu sasa mtoa post ni mdhungu"
 
My girlfriend she is not proudly to be wit me,how can i do...,
Your advice is more important than what you think....
Thanks....
Kwa hizi grammar atawezaje kuwa proud[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
My girlfriend she is not proudly to be wit me,how can i do...,
Your advice is more important than what you think....
Thanks....
Correction as to grammatical errors
"My girl friend is not proud to be with me"

Alternatively you can say...,

"She is not proud to be with me"
 
Probably those are the main reasons why she isn't proudly (sic) of him.
Duh hii " sic" namkumbukaga tu majamba pale viunga vya hell of lawyers- law school. If there is mistake into the statute. Who has to rectify the mischief.
 
Ha...!!! Is this what you are teacher Rasi Lionelrichie teached you there on tomorrow-goro region?

You are girlfriend she is must come out with next man believe in me!
 
Huwa unampa pesa??? Tuanzie hapo kwanza manake isijekuwa unalalamika tu afu hutimizi wajibu
 
Ha...!!! Is this what you are teacher Rasi Lionelrichie teached you there on tomorrow-goro region?

You are girlfriend she is must come out with next man believe in me!
you seem to correct him with mbwembwe miingi but correct your sentense to make him understand.

Hii lugha ilokuja na ndege inatusumbua sana.
 
umeshaweka girlfriend she inafuata nin tena hapo mkuu
she unaweka endapo hujamtaja mhusika kama kumpa mwongozo unaemfkishia ujumbe kuwa alifanya kitendo hki ni wa kike
Mf. my girlfriend is walking
she is walking
ila endelea kuthubtu ni mamb madgo tu

"we learn from simple to complex"
gud copy Mkuu kama wanajeshi wasemavyo. I love JF kwani najifunza mambo mupya kila siku.
 
Kama hakujali na wewe usimjali...
Tafuta atakaye kuwa proud kuwa nawe
 
My girlfriend she is not proudly to be wit me,how can i do...,
Your advice is more important than what you think....
Thanks....
hiyo ni kawaida kwa wanawake sema wakwako ameanza mapema ilitakiwa aanze wakati umeshamvalisha pete
 
Back
Top Bottom