SHULE INAUZWA DODOMA MJINI, SHULE IPO KATA YA IPAGALA INAFAHAMIKA KAMA NURU SEKONDARI INA ENEO LA HEKARI NANE, VYUMBA 16 VYA MADARASA PAMOJA NA UKUMBI MMOJA. ENEO LILE UNAWEZA PIA UKABADILISHA MATUMIZI .KWA MTU ANAYE HITAJI PIGA SIMU ILI UPELEKWE UKAJIONEE WEWE MWENYEWE :0756578715
Kigogo anayefahamika kwa jina moja la Maimu,amevamia eneo la shule ya sekondari Nuru ,iliyopo kata ya Ipagala na kuvunja makufuri yaliyokuwepo kisha akafunga yake na kuendeleza shughuli za ujenzi ,shule hiyo ambayo inamilikiwa na MAMA NURU(nuru group).Inasemekana kigogo huyo amekua na tabia ya...
Ndugu zanguni,
mimi pia nafuga hawa kuku wa kienyeji na ninao hawa kuku 142,wakati nawanunua nilikua namatarajio makubwa sana yaani niwalishe vizuri wakue nipate mayai lakini haikua hivyo badala yake wakawa wanataka kwa kusua sua na hapo tayari nimetumia pesa nyingi kuwatunza ikabidi niwauze tu...
Ndugu zanguni,
Kitendo kinachofanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu kinaonyesha dhahiri kuwa Bodi ile inaendeshwa kimagumashi. Sasahivi ili kuhakikisha wanakusanya madeni yote sugu wameanza kuwakata pesa hata watu ambao hawajawahi kukopa mikopo ya elimu ya juu na pengine hata hiyo elimu ya...
Ndugu zanguni kitendo kinachofanywa na bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kinaonyesha dhahiri kuwa bodi ile inaendeshwa kimagumashi.
Sasa hivi ili kuhakikisha wanakusanya madeni yote sugu wameanza kuwakata pesa hata watu ambao hawajawahi kukopa mikopo ya elimu ya juu na pengine hata hiyo elimu ya...
Ndugu zanguni, nimeona uteuzi wa mkuu wa Wilaya ya Mbeya nikakumbuka huyu si ndio yule aliyekuwa mkurugenzi wa Mufindi akakumbwa na kashfa mpaka akadondoka kwenye kikao!!!
link hii inaonyesha siku ya tukio ilikuaje.
MKURUGENZI WA MUFINDI MATATANI, KWA TUHUMA ZA UBADHILIFU WA MILIONI 291
Mtumishi atakayekwenda kusomea FIRST DEGREE anatakiwa achukue LIKIZO ISIYO NA MALIPO na hastahili kulipwa chochote na Mwajiri wake ikiwa ni pamoja na kutolipwa Mshahara kwakuwa HAYUPO KAZINI.....kwa ili nimeamini wafanyakazi wengi tz wanavumilia kazi sio wanafanya kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.