Kiwanja kinauzwa Mtwara Mjini

kayandam

Member
Apr 20, 2013
52
18
Nauza kiwanja mtwara mjini kiwanja kikubwa kipo karibu na bahari ,ni sehemu nzuri ya kibiashara kwa mtu ambaye anahitaji awasiliane nami kupitia 0658578715,bei mil 180.
 
Wacha ushamba kijana....biashara ni kujitangaza, sasa unauza kiwanja hakuna hata picha? Ukituuzia makaburi je?
 
Nauza kiwanja mtwara mjini kiwanja kikubwa kipo karibu na bahari ,ni sehemu nzuri ya kibiashara kwa mtu ambaye anahitaji awasiliane nami kupitia 0658578715,bei mil 180.
Mtwara mjini sehem gani mkuu, ni Shangani West, Shangan East, Chuno, Likombe, Mangoela, Mikindani, Ufukoni, au wapi? Kina ukubwa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom