Huyu mkuu wa wilaya ndie aliyezimia Mufindi

kayandam

Member
Apr 20, 2013
52
18
Ndugu zanguni, nimeona uteuzi wa mkuu wa Wilaya ya Mbeya nikakumbuka huyu si ndio yule aliyekuwa mkurugenzi wa Mufindi akakumbwa na kashfa mpaka akadondoka kwenye kikao!!!

link hii inaonyesha siku ya tukio ilikuaje.
mbeya hiyo.GIF

MKURUGENZI WA MUFINDI MATATANI, KWA TUHUMA ZA UBADHILIFU WA MILIONI 291
 
Uteuzi wa mwendo kasi....wanakurupuka tu! Sijui hata kama kuna vetting kama hata vituo wanakosea mtu ameshaapishwa anateuliwa tena!
 
Haaaa haaaa wapo wengi sana waliokuwa na kashfa
Sasa ndugu yangu, ndani ya CCM huyo mtu aliye msafi na asiye na kashfa atapatikana kweli? Atakuwa anafanya nini huko? Mbuzi kwenye kundi la mafisi anatafuta nini! Mkulu mwenyewe tuhuma kibao...nyumba za serikali hadi kivuko chakavu! Watanzania tumeliwa!
 
Haiwezekani Majina hayo yametolewa baada ya upembuzi makini
 
Huyo DC Ntinika William Paul baada ya kuzimia Mufindi alipelekwa Magu. Huko nako kapaharibu ni hakuna mfano. Ana tuhuma za kutengeneza barabara kwa milioni 103 kwa imprest. Pia alichota 10m kwa kuwatumia vijana PCCB wakamwamuru azirejeshe. Lakini ni hodari wa kuimba mashairi wakati wa Mwenge na wanapokuja viongozi na pia ni mtaalamu wa kujikomba. Yeye ndo alikuwa anamfungulia mlango DC wakati alipokuwa Magu. Yule anaweza akahonga samaki kuanzia Dodoma hadi Dar. Ni mmojawapo wa vijana wa Marehemu Kabwe kikazi maana ndo alikuwa Mweka Hazina wake Mwanza Jiji. Ni shedaaaa!!!
 
duh ni hatari sana
 
Kama kawaida tunaendelea na movie letu la viini macho linaloongozwa na mwenyewe mkulu gwa kaya baba ... a.k.a kil... Napita tu
 
Back
Top Bottom