Recent content by Kayagamba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: CCM kuwafungia Maisha wagombea watakaokutwa na hatia ya rushwa kwenye uchaguzi mkuu

    Is it? Basi nihabari njema kama itafanyiwa kazi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dar, Banana: Rais Magufuli azindua nyumba za Askari Magereza Ukonga

    Roving Journalist, Inasikitisha kuona bado kuna viongozi waandamizi wanaendeleza mambo ya ajabu. bora hatua zinazochukuliwa dhidi yao ziendelee huenda waliobaki watabadilika. Big Up Mhe. Rais.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Prof mmoja aliwahi kuniambia, "Ogopa zaidi hapa dunia Watu wajinga, maana wakiwa wengi wanaweza kumchagua Rais"

    Kwa hiyo wewe ndiye mwenye akili kuliko watanzania wooooote?!!!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya 2015-2020 yatekelezwa kwa kishindo sekta ya usafirishaji na uchukuzi nchini

    juctn Mt, Kwa hakika ni kazi nzuri sana zinazotekelezwa kwenye sekta zote.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Shujaa Wa Tanzania Hachaguliwi Kwenye Makongamano Yanayofanyika Nje Ya Nchi

    Kaka Mpendazoe upo? Utakumbukwa tu katika teuzi naona nafasi bado zipo za U-DC. Tehe tehe tehe.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NHC mashaka yangu ni muda ulioutumia

    Hakuna maswali, notice walipewa kufurushwa ni sawa kabisa. Septemba Mosi hiyo;)
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kada maarufu wa CCM ndugu Bulembo matatani

    ...tatizo lipo...deni lilipwe basi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania How Mbowe Hotels fixed NHC

    Alitaka kutumia maandamanio kuhamisha ajenda ya kudaiwa na NHC
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    Hahahahaaaaa! UKUTI, UKUTI, wa Mnazi wa Mnazi.....
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kamera Yasahaulika kwa Muda

    Kwa hiyo ulitaka asile chakula?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Limbwata limekolea hapa

    Kwani ukibeba mwanao kuna tatizo gani?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo aliposherekea birthday kijijini kwao

    Inavutia sana. Hongera Mzee Muhongo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tujuzeni kinachoendelea Zanzibar

    Tetesi ni kuwa wananchi wa zanzibar wanafanyakazi na biashara kama kawa
  14. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwasha moto nchi nzima

    Chadema, Chadema, Chadema. What a mess! Watanzania tunataka kufanya kazi na si kuwasikiliza nyie. Kumbukeni mliyoyasema Nzega wakati wa kampeni kuhusiana na MCC na nini mliasema hivi majuzi MCC walivyoondoa kimsaada chao! Wasio na uwezo wa kufikiria ndiyo wanaowakubali ila mimi NO.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani watu kupanda mabasi bure kwa siku mbili!

    Wewe umechangia nini katika uchumi wa nchi hii?
Back
Top Bottom