Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

14141607_166611047106054_6489248441577770725_n.jpg

Ukweli mtupu.
Mtu kama huyu angekuwepo nchini wala asingeandamana, anachochea wenzake kwa mbali tu ili baadaye akisikia watu wamevunjwa miguu anachoweza kufanya ni kutoa tamko la kulaani tu. Tunatakiwa tuwe mbayuwayu kwa kuchanganya na zetu.
 
Chadema wasanii,hadi juzi walikua wanasema piga ua ukuta upo pale pale,kwan hawakujua kama kuna mazungumzo
 
Safi sana mbowe umewachezesha jamaa kwata mijini na vijijini!wametoa matamko mpaka wakachanganyikiwa.safi sana!!
 
Malizeni malumbano, hapa nadhani kuna haja ya rais wetu kukutana na wapinzani nadhani ile auli aliyoitoa alipokutana na lowasa kuwa amefurai mi nashauri amwalike Lowasa ikulu wazungumze, huyu jamaa hana kinyongo na Magu, lakini pia Magu sasa hivi ni raisi anatakiwa kuepuka kuwa anatoa kauli za kuuzi wenzake ilimradi wao hawana muda, LOWASA tangu ameanza klusemwa na waccm kama angekuwa mtu wa kuropoka angekuwa ameropoka mengi, kimsingi UKUTA, unatakiwa kubaditilishwa na kauli kutoka ikulu ya kupinga kufanyika kwa mikutano ya siasa.

Pili nilpata kusikia waziri wa sheria pamoja na raisi wetu wakidai hata matafaifa yaliyoendlea ucahguzxi ukiisha basi siasa uisha, kimsing hatuwezi waiga watu hao, kama tunawaiga katika ili basi tuwaige na ushoga wao tulio uktaa awali.

BINAFSI nAtoa pongezi kubwa kwa chadema kubadilisha tarehe ya ukuta, IKUMBUKWE KUWA tuspokuwa makini NGUNGURI+ NGANGARI 2000, ilireta mauaji sasa UKUTA+- ITALETA shida.
 
14141607_166611047106054_6489248441577770725_n.jpg

Ukweli mtupu.

Ndio maana wewe na huyo binti si viongozi wa CHADEMA or of anything for that matter. Unafikiri kuongoza CHADEMA ni sawa na ku-post unachotaka huko Instagram? Okay, let's get to the point. Ingekuwa wewe ndiyo Mwenyekiti wa CHADEMA, in a given context (the military is out in full force + crippled planning of the protest), kwa nini usingeahirisha maandamano yaliyopangwa kufanyika kesho? What are the chances of success? And why do you think tatizo liko kwa anayetaka kuandamana na si anayezuia maandamano?
 
Kilichobaki kwenu na kama ilivyo kawaida yenu ni matusi, kejeli, dharau na majigambo....Nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni Watanzania na ambao ni wazalendo...nchi hii siyo ya vibaraka wanaokimbilia kwa wazungu na kuwaita waje huku waone mauaji yanayotarajiwa ...Viongozi wa upinzani hawana hata chepe la uzalendo...wao wanapigania kumdhalilisha Rais wetu na 'kumchongea' kwa wazungu...wapinzani wanafurahi nchi inyimwe misaada, wanapambana waone Rais wetu anashitakiwa kwenye mahakama ya kimataifa....wanadai demokrasia lakini wao wenyewe ndani ya vyama vyao hakuna hata chembe la demokrasia....ubunge wa viti maalum wanapeana wao kwa wao, ndugu zao, dada zao, mashemeji na kadhalika...mtu akiwa na mawazo tofauti ndani ya upinzani anaondolewa na kuitwa kuwa ni msaliti...nchi hii haiwezi kuongozwa kwa porojo na maandamano, Enzi hizo zimekwisha...hakuna kubembelezana, maendeleo ya nchi hii ikibidi yatakuja kwa nguvu, anayetukwamisha kwa kisingizio cha kuminywa kwa demokrasia atashughulikiwa tu...
Mkuu tafadhal kama inawezekana naomba kupata mawasiliano yako maana nnapokutana na wazalendo wenzangu najicki faraja sanaaa Mungu akubariki wewe na kizazi chako chote,abariki na kazi za mikono yako
 
Niliisoma Yahoo, kuna mwandishi nadhani wa Kenya yule akaiweka kama vile hali ya Tanzania ni tete.

Binafsi namshukuru Mbowe na Team yake ya mradi wa ukuta kwa kuweka maslahi ya vijana wetu ambao wengi wao ndio wangepambana na vyombo vya dola, kupata adha, majeraha pengina hata vifo na kuziachia familia zao majonzi na pengine umaskini zaidi.
Mkuu sawa mbowe amefanya jambo jema lakini hata mwitikio wake ulikuwa umeanza kupwaya kitendo cha JPM kukutana na EL automatically kilishusha molali ila kwa watu ambao hatufungamani na pande yeyote ilikuwa ni kero maana usiku mchana kutwa story ni hiyo hiyo tu
 
Mkuu sawa mbowe amefanya jambo jema lakini hata mwitikio wake ulikuwa umeanza kupwaya kitendo cha JPM kukutana na EL automatically kilishusha molali ila kwa watu ambao hatufungamani na pande yeyote ilikuwa ni kero maana usiku mchana kutwa story ni hiyo hiyo tu

Lowassa ni CCM so hawezi kunyea kambi. Anyway, pia shukran nyingi kwake kwa kuwatuliza hao vijana wenyewe kwa wenyewe hawasikilizani.

Naam, chadema CCM B au C.
 
Msikimbie njooni tuwape mikakati ya namna ya kufanya oktoba1. Kwa kuanza tu, muombeni UKUTA iwe Nyerere day yaani Oktoba 14.
 
Watanzania wenyewe wakiona msafara wa polisi wanalalama wengine mnatutia pressure tunajiuliza nini tena ohoo jamani muwe mnatupa taarifa halafu ukaweke mbele ya polisi.

Ukuta ungedoda tu ata wasingefuta issue inabaki viongozi wamewapa misuko suko makada wao kadhaa na vijana waliokuwa wanauza TShirts zao halafu leo hakuna UKUTA how selfish is Mbowe, wengine mpaka sasa wapo rumande kisa UKUTA.
 
Back
Top Bottom