Recent content by kauni

  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jibuni hizi shutuma tuwaelewe kama wanamabadiliko wa kweli

    Ulikuwa pangoni wakat majibu ridhishi yanatolewa au??? fisadi tushamjua broo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    Ndugu yangu endelea tu kula vidagaa vyako na familia yako, haya mambo waachie wenyenayo..
  3. K

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Gwajima katika siasa, kipi anatafuta?

    Kwaiyo tatizo nn,,, sio vbaya kwa kiongoz wa din kushughulikia siasa,,kwan huyo slaa sio kiongoz wa din?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Wanajeshi kwa Dereva - Hili tukio limenishangaza sana leo

    Wabongo bhana.., eti dereva huyo angeua kweny mkasa huo, hayo maandiko yenu yangewageukia madereva ya kwamba si waangalifu,ila sasa wajeda wanaonekana waonevu,,,,acheni hizoo,, madereva wa dar..ni wahuni sana
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 16 signs you could be a sex addict

    Sex addiction is along the line of such behavior preference..
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 16 signs you could be a sex addict

    If u feel having sex for times without number, it is undoubtable fact that, u might be having abnormality both in ur mind and body. Let's remind ourselves of the saying that, "an idle mind is the devil's workshop" this implies that, if u're accustomed at doing nothing all the time, then it is...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Condom zaadimika ghafla visiwani Zanzibar

    Mmh!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    mnapenda hotuba tamu masikioni,,hotuba za mjomba yako anaemaliza zilikuwa tamu lakini maisha MACHUNGU..achen umburula
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwananchi 12/08/2015

    Watanyoooka tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hongera wasanii maarufu wa CCM

    Kwa maneno tangulizwa hapo juu, inatosha kudhihirisha kuwa hao waCHanii na ChiChiyemu yao, vichwa vyao ni MITUNGI YA MAVI, cheeeeeefu!!!
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kutongoza wanawake wa Dar!

    Hivi unadhani hao wanawake hawaingii jamiifor??acha maigizo kaka...ila tunashukuru kwa kutukumbusha hayo mambo..
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unaoongoza kwa kuwa na matajiri wengi Tanzania?

    Dodoma kwa ombaomba aisee ni hatareeee
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ukawa ndo kambi ya ukweli
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    Sura ka umelamba ndimu... muone miguu miembambaa ka ilichomekwa.. Lione... jimwanamke fupiiii, disco lashikwa kichwa badala ya kiuno ....
Back
Top Bottom