16 signs you could be a sex addict

16 signs you could be a sex addict

nahisi swala la kuzaliwa familia bora linahusika hapa. mimi kama neno halipo longman au oksifod dikishonary ndo basi tena, linanipita tu

Alafu wewe Paulo Sergio De Souz naomba utambue kuwa hukuchangia hata senti tano kwenye ada yangu, sasa hizi habari za kuniumiza kichwa kila siku tupumzishane tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Yeah, i guess. You think not?

mleta uzi uwa nasomaga post zako na mara nyingi watu zinawaumiza mashavu coz ni ndefu Ila mara nyingi english yako ni simple na ina inaeleweka.
Sasa bas kwa sasa niko busy na kampeni za raisi lowassa baada ya october ntakutafta nataka ku compare if what u write is what u speak. (lengo langu ni kwenye speaking tuu)
 
Nilikuwa na machungu sikutaka uniongezee.

Hahaha, yaani nimekuita mara 5, ukaitika mara 1 tu Piquee....sorry, pekee. Anyway, uko poa lakini?

Alafu wewe Paulo Sergio De Souz naomba utambue kuwa hukuchangia hata senti tano kwenye ada yangu, sasa hizi habari za kuniumiza kichwa kila siku tupumzishane tafadhali.

Hahahaha. Si kuna jamaa katangaza yake ya moyoni? Mshikilie akupeleke shule bana. Haha kweli umepinda.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, yaani nimekuita mara 5, ukaitika mara 1 tu Piquee....sorry, pekee. Anyway, uko poa lakini?

Hahahaha. Si kuna jamaa katangaza yake ya moyoni? Mshikilie akupeleke shule bana. Haha kweli umepinda.

Mie niko poa kabisa, uliniita wapi huko? Sikuona bwana.

Si mligomaga humu mkasema hamtusomeshi ng'ooo maana nyie sio wazazi wetu!!! Au mmelegeza kamba?
 
mleta uzi uwa nasomaga post zako na mara nyingi watu zinawaumiza mashavu coz ni ndefu Ila mara nyingi english yako ni simple na ina inaeleweka.
Sasa bas kwa sasa niko busy na kampeni za raisi lowassa baada ya october ntakutafta nataka ku compare if what u write is what u speak. (lengo langu ni kwenye speaking tuu)

Haha. wanna know how i talk huh?! We'll see about that. But how you read it, is how i would say it.
 
Mie niko poa kabisa, uliniita wapi huko? Sikuona bwana.

Si mligomaga humu mkasema hamtusomeshi ng'ooo maana nyie sio wazazi wetu!!! Au mmelegeza kamba?
Nakuzingua tu.

No. Sijawahi kusema kitu kama hicho. Ngoja nikuwekee kizungu kidogo, the cloth from which we were cut me and every other fellow, is not the same. Maamuzi yao ni yao, yangu ni yangu.
 
Kwakuwa wewe ndio unanipasua sana kichwa hebu tuanze na wewe, toa mchango wa kunipeleka shule alafu ndio uniongeleshe vingreza.
 
Hahaha. Sasa hii nayo si ni shule? Shule nzuri ya kingereza ni kingereza. Au ni mchango wa aina gani unataka labda?
 
Of all those the thread bringer said there remain only one thing and that is nothing BUT exorcise the spirit of adultery and fornication in the name of Jesus
 
Thatha kwann hujawaambia pia waComment kidhungu?,THI UMELETA UDHI KWA KIDHUNGU pia waComment hvyohvyo.
ULISHINDWA KUIWEKA kwa lugha ya KISWAHILI? au ulijua tulio JF wote 2ko vzuri kielimu?.
Aaaaaa buana,m2tendee haki jamani.
 
If u feel having sex for times without number, it is undoubtable fact that, u might be having abnormality both in ur mind and body. Let's remind ourselves of the saying that, "an idle mind is the devil's workshop" this implies that, if u're accustomed at doing nothing all the time, then it is beyond no dought, u'll be doing that nothing. Let us work hard brethren of mine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom