Nimeumia sana ndani ya moyo wangu.
Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu.
Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza...
Moja ya upepo ambao Tulia kausoma ni ule wa ICC.
Mambo yanazidi kuiva ni suala la uvumilivu tu wanachukua mda mlefu kufanya uchunguzi ila watanzania mtaenda kuona na kusikia mengi. Moja ya vitu mtaenda kusikia nia utajiri na hela ambazo zinamilikiwa na watz kwenye acc za nje.
Habari
Usikubali kutoka mikono mitupu ukisikia mwizi yupo ndani ya nyumba. Hivi sasa wezi wengi wanadamu za watu mikononi hivyo kuua kwao ni sio shida.
Unaweza kuibiwa vile vile ukapata kichapo cha maana. Sijaandika kukuogopesha ila kuwa makini. Ukiamua kutoka kwenda kumkamata mwizi toka upo...
Habari wadau. Katika tembea zangu nimekutana na hii apps ina games za web3. Hii apps nimeona ni nzuri kwangu sababu inalipa mtu kwa survey utazofanya ndani. Ila ndani yake kuna games nyingi sana. Games hizi ni za web3. Ambapo unalipwa kutokana na games kucheza na level unayofikia. Kila level...
Habari za mda huu!
Naenda kwenye mada fupi tu. Nimetaja mafuta hayo sababu common sana kwa wengi wetu. Ila kuna mafuta mengi yapo mtaani ambayo yanaganda.
Na uhakika wa haya mafuta kuwa yanaganda kwa asilimia 100. Na mafuta haya hutengenezwa na alizeti kwa mujibu wa watengenezaji, ila ukweli...
Vijana hata watu wazima wengi bado wanaimini kuna kazi au pesa rahisi unaweza pata kupitia simu yako au kuwa online.
Chini ya hili jua hamna pesa rahisi. Pesa halali ni ile ya kuitolea jasho. Kama kuna mtu Tanzania hii analea familia yake na anasomesha watoto wake na online money aje aseme...
Kuna kitu hapa umeficha hakipo sawa. Mwanamke kufika hiyo stage umefanya jambo baya ambalo wewe mwenyewe uwezi kuliweka hapa. Jua tu mwanamke ni tofauti na mwanaume akisema hivo ujue anasema kweli kwaiyo kama unampenda na umemkosea kweli muombe msamaha taratibu. Na hadi hapo huyo msichana ni mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.