Recent content by KATUNZI THE YOUNG

  1. KATUNZI THE YOUNG

    wilayani MULEBA yupo wapi mtu huyu?

    Bila shaka wilaya ina mtambua mwalimu aitwaye LWESHABURA KYABUGERA mwalimu aliye jituma ikiwa ni pamoja na kufungua vituo kadhaa kama mtaaramu wa viziwi baada ya kumaliza masomo yake kwenye chuo cha uaimu patandi 2007 aliweza kufungua vituo na kufuata watoto nyumba kwa nyumba katika maeneo ya...
  2. KATUNZI THE YOUNG

    Yuko wapi mwalimu Lweshabula Kyabugera

    Ndugu zangu leo hii naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa. Yupo mwalimu aliyejulikana kwa jina la Lweshabula Kyabugera kutoka wilaya ya Muleba. Akiwa kama mtaalamu wa kwanza katika wilaya hiyo kama mwalimu wa viziwi aliweza kufungua vituo viwili kwa gharama zake mwenyewe. 1. SHULE YA MSINGI...
  3. KATUNZI THE YOUNG

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    kutoka mkuu na same ni mbali sana ndugu sababu unapotoka mkuu kwnye wilaya ya rombo unaenda wilaya ya mwanga then same
  4. KATUNZI THE YOUNG

    Kuhusu chuo cha SUZA

    nambeni msaada kwa wanaojua
  5. KATUNZI THE YOUNG

    Kuhusu chuo cha SUZA

    Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka jana PCB nilipata point 11 nilipata CHEM-B.BIOS-B.PHYZ-D.BAM-B ninataka nifanye aplction kuomba MD katika hiki chuo naomba mwenye ufahamu anijuze vip kinakuwa na competition? na vipi kwa ifaulu wangu naweza kupata md? na kama hawezekani naomba ushauri wa...
  6. KATUNZI THE YOUNG

    PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Mimi nilimaliza mwaka jana nilipata physcs-D.Chemistry-B Biology-B BAM-B nataka nichague MD. Kwa mlolongo huu je ntakuwa sahihi Bugando, Archbishop, KCMC, HKUM, SFUCHAS? Naomba ushauri. 2.Kingine wakati wa udaili munaangaliaga vitu gani vitatu muhimu vinavyo mfanya mtu awe succesfully selected?
  7. KATUNZI THE YOUNG

    Nahitaji mawasiliano ya Monduli University

    hicho cjawahi kukisikia mwandishi emu funguka
  8. KATUNZI THE YOUNG

    Naomba kufahamishwa juu ya sifa za kudahiliwa na certificate ya Nursing

    dah mshauri aende advance sababu inaonekana arts yuko vizuri asinganganie afya sabu hana chemistry na physcs
  9. KATUNZI THE YOUNG

    Ofisi za NACTE zipo wapi Dar es Salaam?

    tafadhari kwa wenyeji wa dar es salamu napenda kujua NACTE inapatikana sehemu gani
  10. KATUNZI THE YOUNG

    Upangaji wa GPA kidato cha sita

    GS ni0.5 kwenye admision
  11. KATUNZI THE YOUNG

    Utaratibu wa kufuata kuahirisha masomo

    nashukuru ndugu ila dean wetu ni complicator sijui itakuwaje
  12. KATUNZI THE YOUNG

    Utaratibu wa kufuata kuahirisha masomo

    Naomba msaada sababu nataka kusitisha sababu za kifamilia ninayotoka na memgine mengi naombeni msaada
  13. KATUNZI THE YOUNG

    Utaratibu wa kufuata kuahirisha masomo

    Habari za shughuli wadau nilitaka nifahamishwe juu ya hili : nasikia ili kuhairisha masomo chuoni kama umeshasoma lazima uandike barua chuoni sasa ni utaratibu gani stahiiki unafuatagwa chuoni sababu nasikia vyuo vigine watu huwa wanagomewa naomba msaada tafadhari njia ipi ifuatwe ili kupata...
  14. KATUNZI THE YOUNG

    Hongera sana Kanisa Katoliki Tanzania kwa kazi ya WITO

    dah ilo ndo kanisa moja takatifu katoliki na asili yake ni mitume rejea mathayo16:18 mungu anamkabidhi PETRO
  15. KATUNZI THE YOUNG

    Hili linanikosesha usingizi

    dah hilo ni la msingi mkubwa itabidi tupambane nayo
Back
Top Bottom