KATUNZI THE YOUNG
Member
- Jan 2, 2015
- 37
- 3
Bila shaka wilaya ina mtambua mwalimu aitwaye LWESHABURA KYABUGERA mwalimu aliye jituma ikiwa ni pamoja na kufungua vituo kadhaa kama mtaaramu wa viziwi baada ya kumaliza masomo yake kwenye chuo cha uaimu patandi 2007 aliweza kufungua vituo na kufuata watoto nyumba kwa nyumba katika maeneo ya omukitenge ,ihama,kitarabwa.kalanda,kanyambogo na maeneo yote ya karibu na akafanikiwa kufungua kituo cha kwanza 1.SHULE YA MSINGI RUBYA"B" kwa gharama zake baada ya ufanisi uliotukuka wilaya ilimuomba akafungue kituo cha pili 2.SHULE YA MSINGI KAIGARA 2009 kumbe yeye alikuwa akifanya kazi kuwa neemesha maafisa elimu na waratibu elimu maalumu kwani waliandika mihutasari mingi na kujinufaisha wao kutokana na adha alizokuwa akipata ikiwani pamoja na malimbikizo ya mishahara,changamoto za kiusafiri kwani alitembea nyumba kwa nyumba kuwatafuta watoto mwalimu huyu alihamua kustaafu kwa hiari kabla ya muda wake 2013 badala ya tarehe 7/1/2019 nilikuwa naishauri serikali kupitia wilaya hii kutambua uwepo wa watu na tunu kama hizi kwani baada ya mwalimu huyu kustaafu wanafunzi wamekuwa wakitangatanga na awana mustakabali stahiki naamini hili litafanyika kupitia serikali hii ya mheshimiwa JPM