Recent content by katumbwalala

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Wanafunzi wa Diploma Bodi mtoe taarifa kinachoendelea

    Kuna wanachuo wameondoka chuoni baada ya kukaa Toka October Hadi January na wengine wanapitia magumu Hadi sasa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji yafafanua sababu za kudai vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wa Nondo

    nadhani hawakuwepo wahandishi wa habari makini vp? wanashindwa kuuliza maswali ya msingi kama kwa maana yake hawana sababu ya kudai iwapo wazazi wake na hao babu zake wamezaliwa baada ya mwaka tajwa katka hiy press conference bado shaka lipo iwapo ha wazazi wake wamezaliwa baada ya mwaka tajwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

    MENGI YUKO SAHIHI: ANGALIA TOFAUTI ZA KIFKRA KATI YA HUYU WAZIRI WA MOZAMBIQUE NA WAZIRI WETU MUHUNGO NA HII NDIO MAANA ANAIGOPA MOZAMBIQUE HUYU JAMAA ANA UZALENDO NA NCHI YAKE, NA BONGO LAKE LINACHEMKA, KIBAYA SIO PROFFESSOR KAMA WETU. Revisions to mining and oil laws should help...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mkubwa bomba la gesi - Serikali yadaiwa kuchakachua bei halisi ya ujenzi

    Imeandikwa na Na Charles Mullinda|Alhamisi, Januari 17, 2013 06:16 - *Serikali yadaiwa kuchakachua bei halisi ya ujenzi *Gharama za mradi huo zimeongezwa maradufu *Zitto Kabwe adai kuwa viongozi wamehongwa KASHFA mpya ya ufisadi wa mamilioni ya Dola za Kmarekani zilizokusudiwa kutumika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo: Gesi ya Mtwara itatoka!

    afaahamu ya kuwa habari inevuja kuwa ni mradi wake na boss wake maana ukweli ametuonyesha obama aliposaini mradi wa simbion kumaliza tatizo la umeme tz wakati yeye alidai gesi ni kwa ajili ya umeme wa tz jana anasema umeme wa kuuza nje ya nchi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtwara si Wendawazimu

    Mtwara si wendawazimu|Paschally Mayega RAIS wangu, walioliona jua kabla yetu wanasema kwenda mahakamani si kushinda kesi. Leo tunaambiwa wana wa Mtwara ni wa choyo. Wanataka gesi ya Tanzania iliyopatikana Tanzania sehemu ya Mtwara iwe yao peke yao! Na kwamba Watanzania wengine ambao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania kampeni kata ya ng'ang'ange-kilolo CHADEMA, yavuna kadi za ccm.

    VIPI MBONA wanachelewa kuja mtwara huku niza kumwaga tu mpaka meya ameshindwa chama cha magamba yeye pamoja na mwenyekiti wa wilaya wa ccm mtwara mjini
  8. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu oparesheni inayoendelea mtwara

    mbona hii taarifa ni tofauti zingine/
  9. K

    JamiiForums Tanzania Membe: Sihusiki vurugu za Mtwara...

    Watu wengi walitaka tu kujua kama yeye yuko upande gani katika hili suala la gesi maana wenzake wote wamejitambulisha kwa wananchi wa kusini bado yeye tu. Kama hataki kujijulisha ni vema tu, maana sisi kwa akili za kuzaliwa tu tunajua hawezi kuwa tofauti na boss wake, na hii si hatari kwetu ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta aisiriba serikali ya Tanzania

    kaka tumezidiwa kama wanaweza kujitegemea kwa 98% sisi tuko nyuma kwa 50% ni hatari sana kwa uchumi wa nchi maan hatuwezi kujitegemea wenyewe yaani hatuna tofauti na baba anaye weza kununua unga tu mboga kwa jirani kila siku na suala la vijijini kwao ni sawa tu huku kwetu vipo vijiji vingine...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hotuba ya bajeti ya wizara ya nishati na madini yapita, kamati teule yaundwa na spika.

    Ufisadi mkubwa bomba la gesi Imeandikwa na Na Charles Mullinda Alhamisi, Januari 17, 2013 06:16 - *Serikali yadaiwa kuchakachua bei halisi ya ujenzi *Gharama za mradi huo zimeongezwa maradufu *Zitto Kabwe adai kuwa viongozi wamehongwa KASHFA mpya ya ufisadi wa mamilioni ya Dola za...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lema aumbuka! Namba ya simu aliyodai ya Mulongo ilikuwa ni Uzushi

    ukweli upo katika maelezo ya namber ambayo voda wanaikataa si yao, kama si yao waseme ni ya wapi?.hii hapa 44780200332 ni center number ilitoa ujumbe wa kwanza kwenda kwa Lema ambao vado wanaikataa. wanakubali majibu ya ujumbe wa kwanza kwenda kwa Mulongo yaliofuata baada ya ujumbe wa kwanza...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Matukio haya yanalitia doa Jeshi la Polisi

    Matukio haya yanalitia doa Jeshi la Polisi JANA vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini viliandika kuhusu kukamatwa kwa askari wawili waliokuwa wakisafirisha magunia 18 ya bangi kwa kutumia gari la Mkuu wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania CEOs Host Kinana for PPP Presentation Today

    Ina maana kila jambo linalo tolewa na (CEOrt) round table yenu halitazamwi tena kwa jicho pana? mbona watu wengi wapo ambao hazionekani itikadi zao moja kwa moja. maana kuna wakati utafika ambao watu watakataa kupokea mada hata kama ni mzuri baada tu ya kujua imetoka upande fulani wa siasa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CEOs Host Kinana for PPP Presentation Today

    :nod: mchague mtu wa kitaifa zaidi utapewa ongera na kazi unayoitangaza itakuwa na mashiko. maana yangu sio katibu wa ccm mwenye kashfa ya ujangili teua mtu wa taasisi isiyokuwa ya kichama cha siasa naona unapenda sana hawa makatibu wa vyama vya siasa. ndio unabalance nini? bila shaka...
Back
Top Bottom