Recent content by katounyu

  1. K

    UCHAMBUZI: Adhabu waliyopewa wanafunzi wanaoshukiwa kuchoma shule sio sahihi kwa 100%

    Kiongozi naomba nikushukuru kwa andiko lako,lakini tambua kuwa mkuu wa mkoa wa mbeya hana taaluma ya uongozi hivyooo anajiendea tu.(alikuwa assistant lecturer) yeye kama mkuu wa mkoa angeweza ku-handle suala kwa utulivu bila kugharimu maisha ya watoto na athari zingine za ki-saikolojia (kielimu)...
  2. K

    Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

    IQ yako iko vizur,nashukuru pia kwa hekima dhidi ya ufafanuzi au majibu sahihi,mh rais ameshaur ofisi ya DPP Ione kama inafaa kuweza kupitia mashauli hayo na kushirikiana na mamlaka za ki-upelelezi(jeshi la polisi)ili kuondoa adha ya muda wa ufuatiliaji kuwa mkubwa na pengine kuwatesa...
  3. K

    Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

    Sidhani kama unatambua sheria dhidi ya hao wafanyao hivyo,na ndio maana wao wameridhia kuandika barua na wewe huna msaada wowote wa kusaidia tofauti na kutoa matusi...ongea kwa hoja
  4. K

    Rais Magufuli, kumbuka kuna kesho

    Kiongozi ni kweli mahabusu sio mtuhumiwa rasm na pengine anaweza asiwe na hatia,lakini tujiulize kama taifa kwa nn waandike barua za kukiri kama hakuna kosa wala viashiria vya kosa na je?ni wahujumu uchumi wote wameandika barua za kukiri, je wamelazimishwa kufanya hivyo,mungu akupe hekima na...
  5. K

    DC Muro unatakiwa sasa ukamuombe msamaha Mkurugenzi mpya wa tume ya taifa ya uchaguzi Dr Mahera

    Ndugu zangu hakuna cheo cha mkuu wa wilaya,mnafeli wapi
  6. K

    Baadhi ya matukio ya ulimbukeni wa madaraka

    Ubarikiwe sana kiongozi
  7. K

    Je, Rais Magufuli ni mtumishi au bosi wa wananchi?

    A & B yote ni sawa
  8. K

    Ushauri kwa Director Modestus Francis Kipilimba - Part II

    Huwezi pata wapiganaji makini kwa kurisisha ajira,kama taifa ni lazima kuwe na mpango mkakati wa jinsi ya kupata watu sahihi kwa kazi husika sio mtoto wa flani
  9. K

    Je unamfahamu mtu aliyegundua mitihani ya darasani?

    Mleta Uzi mbona hujakamilisha,nani aligundua mtihani?
  10. K

    Ukweli wa ile sayari ya NIBIRU au PLANET X ambayo inaielekea kugonga dunia kwa kasi ya ajabu

    Wao wanasayansi hawaamini mungu yupo,sasa wafanye kulingana na uwezo wao kushinda hayo mambo wanayo yaona kuwa ni hatari kwa uwezo wao
  11. K

    Hii dhana ndiyo inayotufanya sisi watu weusi tuendelee kuwa dhaifu

    Kwann wazuiliwe,na je?,wametumia akili zao kufikir ili kuondokana na hali hiyo.....
  12. K

    Eva aliongea mengi na Shetani, sisi tukaambulia tu kulishwa tunda

    Matokeo ya mwisho ndio huwa na taswira halisi ya jambo, na wakati mwingine ndio hupelekea hatua ya mwanzo ya uchunguzi(investigation)
  13. K

    Christopher Bageni agonga mwamba Mahakamani, sasa anasubiri Kunyongwa tu

    Aliendaje huko,wakat alikuwa mkuu wa upelezi kinondoni.
Back
Top Bottom