Hawa Waarabu wamemkosea nini Mola wao, mbona wanapigwa namna hii? Yaani wanachapwa kama watoto na ni wengi kweli lakini hamna wanachoweza kufanya! Dah, walipo kosea pakubwa sana wajitafakari!
Evidence is contrary to what you are proposing. Nchi zenye wizi kidogo sana kama Finland na Sweden na Norway, nimetoka huko majuzi, zimeendelea saana kuliko Nchi zenye wizi mwingi kama Bongo, Congo, Kenya.
Kule nilikuwa nahisi barabara wamejenga mpaka wakapitiliza, yaani Barabara mbele...
Sio woga. Ni kwamba si kazi yako. Mamlaka zinatengua, ni jambo lisilo la kushangilia, unapongeza aliyetenguliwa.......unampongeza kwa sababu gani? Kwa achievement ipi?
Shida ya huyu Jamaa ni kuwa, kwa yeye, kula sio kipa umbele, sio kitu. Angekuwa anapenda kula angekuwa Professor Marakani, lakini akarudi! Huyu kula hajui, ndio shida yake!
Marekebisho kidogo Kuhusu sababu ya 6: Kutangulia kupata Elimu kutoka TaIfa jirani la Kenya.......sio sahihi kusema "kutoka TaIfa jirani la Kenya"
Shule ya kwanza kijijini kwetu, pamoja na Kanisa vilijengwa Mwaka 1910. Elimu haikutoka Kenya; ilikuja na wazungu ambao waliwahi kufika sehemu hizo...
Umefanya uchambuzi mzuri, lakini umesahau Moja. Rais Samia ni muumuni wa Katiba. Anajua Maandamano yapo kikatiba. Ndio maana haoni tabu wakiandanana
Unasema kwamba CCM hawaitaki Agenda ya Katiba. Lakini CCM ndio ilianzisha mchakato wa Katiba, na ikauendesha mpaka rasimu ikapatikana. Kilicho...
Nakubaliana na wewe. Kwakweli yanaonyesha openness kwenye Nchi yetu na jinsi tuna vyojenga utamaduni wa uwqzi na kufanya Siasa za kistaarabu. Mwisho wa yote itakuwa ni faida kwa Nchi, maana Nchi itakuwa na kiwango kikubwa Cha Denokrasia, ambacbo kitaharakisha maendeleo
Mwalimu Nyerere alimaliza ukabila na Ukanda Nchi hii. Sasa hivi umetokea wapi tena? Imekuwaje mpaka watu wanaongea kilugha majukwaani? Wakati wa Nyerere ukiongea kilugha jukwaani unaonekana hufai, mkabila na mshamba!
Kwa Upande wa majimbo, lazima yatakuja huko mbeleni! Haiwezekani Waziri wa...
Na kwa jinsi alivyopandishwa Chati, lazima ataingia kwenye Siasa, ingawa anasema hayuko huko ila tushamjua! Na alivyo kwenye Chati Sasa hivi atagombea kupitia CCM chama kubwa lenye uhakika!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.