Halua is overrated

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Messages
2,843
Points
2,000

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2014
2,843 2,000
Hayo ni masukari guru yaliyogandishwa!!!! ni hatari kwa afya kubugia masukari mengi kwa mkupuo bora tende ni natural
Ina corn flour, sukar, samli au mafuta, hiliki, kungumanga, majani ya chai, rose water ambayo haijawa diluted, zafaran, maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
941
Points
1,000

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
941 1,000
Halwa ni ocassional food, mara nyingi huandaliwa katika matukio maalum
Na kula halwa bila ya kahawa chungu ni muhali
Kawaida watu wa pwani huwa wanamechisha chakula kama wanavyomechisha nguo. Kwa mfano huwezi pika ugali na mchuzi mwepesi, ugali mwenzie ni mchuzi mzito
Hivyo hivyo kwa mseto, muhogo, na wali
 

Forum statistics

Threads 1,344,375
Members 515,441
Posts 32,817,782
Top