Recent content by Katonda aganyira

  1. K

    Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

    Kumekucha. Wapendwa katika kristo tuangalie Kwa macho. Nalo litapita tu kama majaribu mengine.watashindana lakini hawatashinda.
  2. K

    Rais Magufuli ampongeza Mshindi wa Urais Marekani, Donald Trump

    Zaidi Ya wapumbavu cjui ni kwanini tunajikataa wenyewe? Tunadharau chetu, tunajikataa wenyewe, tunajidhalilisha wenyewe. Nilihisi Kwa wamarekani walichokifanya ingekuwa funzo kwetu na cc tukajithamini. Wamarekani wamemchagua Trump Kwa sababu ya maslahi ya taifa lao tu awakuangalia chochote zaidi...
  3. K

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Cc watanzania tuna kawaida ya kutoshangilia na ata kucheza ni shida sana. Kawaida yetu ni kuangalia tu, kushangilia tulishajijengea kuwaachia watu wa aina flani na kucheza. Hapo wangekuwa wakenya wangecheza sana na kushangilia sana tena wote bila kuona watu flani ndo wacheze. Naweza kubaliana...
  4. K

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Kazi Nzuri sana [emoji146] kiba umetutendea haki sana. Naenda kulala sasa. Siku ya jpili imeanza vizur sana.
  5. K

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Kwani ujaona ata mwenyewe kagundua kama ajawafanyia kitu watazamaji ndo maana kajitahidi kuvua na nguo hili angalau aonekane kafanya kitu lakini hakuna alichofanya zaidi ya kuruka ruka tu.
  6. K

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Jamani PESA waliyompa Tecno wangeongeza Kwa wasanii wetu wa ndani tu. Huyo Dogo Tecno kama ni sembe kazidisha kipimo. Akuna alichofanya kabisa.
  7. K

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Hivi huyo tecno kalipwa kumtaja Diamond au kuburudisha watu. Sioni anachofanya hapo ashuke tu kashalipwa na Baba Tiffa akalale sasa. 20 za watu zimepotea maskini.
  8. K

    Mwijage: Kazi yangu ni 'kupiga sound' wawekezaji waje, sio kujenga viwanda

    Wazir wa viwanda nenda kiwanda cha Chai kagera (Kageratea) watu wanahali mbaya kiwanda kina hali mbaya wafanyakazi wana mwaka wengine miaka 3 hawajalipwa mishahara muwekezaji anawanyanyasa kwakuwa wafanyakazi wa kageratea ni masikini wanavumilia Kwa kutegemea hipo siku serikali hii itafanya...
  9. K

    Rais Magufuli na maana ya neno 'catalyst'

    Binadam ni mzigo mzito Sana. Watanzania tunachekwa sna Kwa kumkejeli Rais wetu Kwa mambo ya hovyo kiasi hiki. Cjui unajickiaje kumdhalilisha mtu. Tulikuwa tunamsema JK sasa Yale tuliokuwa tunataka Jpm anayafanyia kazi, sasa tunaanza kumdhalilisha kuwa hajui kingereza jamani kutojua hicho...
  10. K

    Kidato cha nne kupiga ‘pepa’ kesho

    Nawatakia mtihani mwema wote, na mwanangu Angel nawatakia kila lakheri Mungu awafanye muwe vichwa na msiwe mkia. Katika jina kuu Yesu Amen.
  11. K

    Anayepinga uongozi wa Rais Magufuli sio mzalendo na anachembe ya ufisadi

    Kila mmoja ana sababu yake ya kumpenda au kumchukia. Na wengi wanaomchukia ni Wale wenye maisha mazuri lakini kwa waangaikaji tunamkubali sana, uwezi elewa adha niliyokuwa napata hospital ya serikali kwa sababu wewe unaenda hospital ya kulipia, lazima nitampenda. Lakini wanaomchukia wengi ni...
  12. K

    R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

    Ulidhamiria kutushtua, ongera umefanikiwa. Ila c vyema.
  13. K

    Sumu inayosambaa mitaani dhidi ya Magufuli, Mungu ingilia kati

    Kwa mtumishi wa umma aliyekuwa Amezoea kucheza na pesa kila cku kuishi bila kutegemea mshahara wake,mwaka unapita ajagusa mshahara wake lazima ataangaika kumwaga sumu tu, lakini kama ulizoea kuhishi Kwa kutoka jasho maisha yanaendelea tu hiyo sumu inayomwagwa aina maana kwetu. Kila mmoja...
Back
Top Bottom