Recent content by katlego

  1. K

    vibaka wa ndoa

    ehehehe wakesha ukiniota eeeh mie wala simwachi ndio kwanza penzi limepamba moto
  2. K

    Niko njia panda

    Sijamwambia nasubiri arudi then ntamwomba aunt yangu akazungumze naye
  3. K

    Niko njia panda

    Tulipima kabla ya kuanza kuhaves3x
  4. K

    Niko njia panda

    Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough
  5. K

    Niko njia panda

    Sijawahi muomba mtoto wala sikuwa nimeplan kuzaa till nifike 28
  6. K

    Niko njia panda

    Tumeshajua wewe ni mchaga satsfied?
  7. K

    Niko njia panda

    Siwezi kumuua kiumbe asiye na hatia tumekubaliana na yeye and i will have the baby
  8. K

    Niko njia panda

    Ndiyo njia tuliyokuwa tunatumia for the whole year it just happened
  9. K

    Niko njia panda

    Watu8 nimekupata asante, mie sijamfanyia lolote huyu mume wa mtu na wala siamini katika hizo mambo na sitoki kwenye kabila ambalo wanawake huua wanaume mali zake hazinihusu na wala sizihitaji tulipoanza hatukudhani tutafika tulipofika kama ni mali hata mie natafuta zangu kwani nami naern...
  10. K

    Niko njia panda

    Take a chill pill dude i respect you
  11. K

    Niko njia panda

    Dada white nilishagraduate ila sikusoma hiyo university uliyoitaja acha kupaka matope vyuo vya watu stick kwenye mada ni vyuo kibao vinatoa degree za 4 years
  12. K

    Niko njia panda

    Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last
  13. K

    Niko njia panda

    Smile povu la nini? Ushawahi penda wewe? For your info watu wengi wanacheza peku sikuwa na lengo la kuzaa naye imetokea tu na wala sitarajii kuolewa naye
  14. K

    Niko njia panda

    Azote nimegraduate nikiwa 23 mwezi mei mwaka huu ntakuwa 25
  15. K

    Niko njia panda

    Its not what you think madam
Back
Top Bottom