Recent content by katima

  1. katima

    JamiiForums Tanzania Kuwapa hela Rehani Bichuka, Zahir Zoro pamoja na kuasili Mtoto aliyeokotwa Jalalani hakutamsafisha Samia Suluhu na unyama wa octoba 29

    Haki na uwajibikaji ni muhimu kuliko haya maigizo yao pumba tupu na wananchi tumewakataaa
  2. katima

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche amjibu RPC Tabora: Acha upotoshaji, huyo aliomba radhi kwa niaba ya mtoto wa dada yake ambaye alitushambulia

    Hii takataka imeandika nn sasa Kima hii nayo
  3. katima

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu onyo la mtu anayejiita “Kigogo” kwenda kwa Benard Membe

    Soma comments vzr hapo utajua hiyo picha ya lini???
  4. katima

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Unajulikana vzr
  5. katima

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi jinsi ya kuijua nyota yako?

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  6. katima

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Fomu zinapaswa kujazwa na kuwasilishwa kwa njia ya mkono na pia kusainiwa na wakili wa Tanzania. Ningewezaje?

    Una uwakika gani??Mh Spika & Kamati ya maadili haina taarifa za N.mkono na kama huwa ana Update kila mwaka hizo fomu za mali ya watumishi wa Umma hajazi???
  7. katima

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Fomu zinapaswa kujazwa na kuwasilishwa kwa njia ya mkono na pia kusainiwa na wakili wa Tanzania. Ningewezaje?

    Weka hoja sio kutusi unafeli wapi kwani mwenzio umeona alichokiandika hapo we mbishie kwa maandishi kuwa haiwezekani kujaza fomu na kuzituma Tz na kupigwa mihuli ya mawakili na kufika panakostahili.
  8. katima

    JamiiForums Tanzania Hawa Bolt (Old Taxify) ni majambazi wa mchana kweupe!

    mmmhh umeshindwa vumiliaa mzee wa kutikisa dish sio vzr mnatuibia kiujanjaa.....alafu kuna wengine wanakuonesha screen shot ambayo sio root yako
  9. katima

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni mkweli, jasiri na asiyependa unafiki.

    Inasikitisha sana pale Askofu na Mh Mbowe wanapoingiza siasa ktk msiba na inajulikana kila sehemu Askofu ana kadi ya Chadema pia na tukubali tukatae wachaga hawatoi hela sehemu wanayojua hawapati faida....siku zote msema kweli ndo mbaya ila Paul Makonda alisema kitu sahihi.
  10. katima

    JamiiForums Tanzania Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Kwa mimi hii mara ya 3 nakutana matukio matatu tofauti wote wana Gram 400 hii kitu kuna sinema kubwa sana[emoji1607][emoji1607][emoji1607]
  11. katima

    JamiiForums Tanzania TAXIFY MJIPANGE SANA WATEJA WATAWAKIMBIA

    Huyo dereva alikutingishia Dishi kidogo
  12. katima

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    13 September
  13. katima

    JamiiForums Tanzania Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Roho ya kwanini
  14. katima

    JamiiForums Tanzania Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Unasikia ni pusha labda jamaa wa forex 🤣🤣🤣🤣Fanya kazi Ndg upate size yako [emoji108][emoji108][emoji108]watu wana hustle haswa ninyi mkiona gari 2/3 pusha daaaa Watz tuko chini sana coz ya kutopendeana mazuri bado tuna kwanini YEYE NOT MIMI
Back
Top Bottom