Recent content by KATIKEMBWA

  1. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga inahitajika

    Habari wana jamvi. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi mwisho au kimara stop over. Iwe na vyumba viwili kimojawapo ni master, sebule na jiko, choo cha ndani cha wageni, maji 24/7, Luku yakwangu, iwe ndani ya fensi. Bajeti yangu 200,000 - 250,000. Malipo ya kila miezi 3 ndiyo uwezo wangu...
  2. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Nani kakukera zaidi mwaka jana 2017?

    18
  3. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Lissu kachaguliwa kuwa Rais wa TLS?

    C
  4. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta chumba na sebule + choo na jiko, luku yakujitegemea; magomeni Morocco. Ni pm
  5. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    R.I.P SITTA
  6. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ubungo tunajuta kumchagua Kubenea

    Research yako umeifanya vp kujua malalamiko ya kla mpiga kura wa chadema analalamika? Mm mbona Niko ubungo na nimezungukwa na kaya zaidi ya 20 wakiwemo wajumbe wa nyumba 10 na serikali za mitaa na wanaunga mkono harakat za mbunge wa chadema. Acha kupotosha uma. "No research ni right to speak "...
  7. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

    Mwanasiasi hajinadi ofisini wewe.
  8. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Jimboni kwa Lissu: Wananchi wako naye,wanasonga mbele

    Mkuu hata kwa kura moja ni mshindi tayari ndiyo maana akatangazwa yeye
  9. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Jimboni kwa Lissu: Wananchi wako naye,wanasonga mbele

    Hapo zimezungumziwa media au jimbo? Umekurupuka kutoka Lumumba unabwabwaja tu humu ndani
  10. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji

    Acha mawazo finyu ww ! Hapo Uzi unajieleza juu. Ofic ya chadema imeingiaje? Ndiyo maana mnafeli
  11. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya Kupata Driving License au Passport

    Njoo pm mkuu tuelezeane vzr. Hyo ktu ni siku moja tu
  12. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Amesababishiwa mtikisiko wa mawazo
  13. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Chaguzi ndogo na uchaguzi wa serikali za mitaa CCM itapata anguko la kihistoria

    Jifunze kufikiri nje ya boxe acha upoyoyo. Aliyekwambia watu hawashughulki nani. Sio nyie mnaamkia Lumumba kusubiri wanaume wenzenu watoe tamko
  14. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Mastaa 6 wa wafata nyayo za Messi kutundika daruga Argentina

    Walikua watumishi hewa hao
  15. KATIKEMBWA

    JamiiForums Tanzania Siamini kwamba!...malizia hapo mbele

    Katumbi katupwa ndani three o'clock
Back
Top Bottom