LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Hapo ndio watu wa shabiki wa kijani na njano mjue hamna wabunge kwa ajili ya kuwatetea bali mko na wapiga deal kwa ajili ya matumbo yao na familia zao. Wazee wa ndiooooo
Bila kupitia bajeti na kuisoma zaidi na kuielewa.
Wacha tuisome nambaeee .......mbele kwa mbele..... Mhhhhhh
Bila kupitia bajeti na kuisoma zaidi na kuielewa.
Wacha tuisome nambaeee .......mbele kwa mbele..... Mhhhhhh