Bajeti ya trilioni 29 yakwaa kisiki asubuhi!!! yawavuruga watendaji


M

mwayena

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Messages
1,511
Likes
1,323
Points
280
M

mwayena

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2016
1,511 1,323 280
Mimi hili LA watendaji wakubwa kupingana kauli hadharani limenichosha sn,sio kawaida,hata km 7bu zinajulikana kwamba serikali ina ombwe LA uongozi,lkn kunaeza kukawa na sababu zingine hazijulikani sana.
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,461
Likes
14,158
Points
280
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,461 14,158 280
Mazoea ya kufanya Kazi na magazeti na television ili waonekane.....ona wanalumbana wenyewe,ina maana hii tozo wakati inawekwa tra,Benki kuu,na mabenki hawakukaa kuangalia utekwlezaji wake?
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,461
Likes
14,158
Points
280
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,461 14,158 280
Naam Mkuu huyu ndiye mshauri wake Mkuu kuliko washauri wake wa Kitanzania.
Inawezekana mshauri akabakishwa wiki nzima atatue hili tatizo
 
Lupyeee

Lupyeee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
2,689
Likes
2,794
Points
280
Age
48
Lupyeee

Lupyeee

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2016
2,689 2,794 280
Naona tayari utekelezaji wa bajeti umekwama.
Tra,benki kuu,makampuni ya simu,mabenki ni malumbano tu.
Tanzania ya viwanda imeota mbawa
Ufipa mshindwe na mlegee.

Kama kujenga ofisi nzuri ya chadema imewashinda hakika ya Magufuli hamtayaweza.
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,461
Likes
14,158
Points
280
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,461 14,158 280
Ufipa mshindwe na mlegee.

Kama kujenga ofisi nzuri ya chadema imewashinda hakika ya Magufuli hamtayaweza.
Hujamsikia kamishna wa TRA na gavana wa benki kuu?
 
mwarabuwadubeii

mwarabuwadubeii

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Messages
664
Likes
625
Points
180
mwarabuwadubeii

mwarabuwadubeii

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2015
664 625 180
Sasa watajua bunge la gizani bila upinzani halina tija!
 
Lupyeee

Lupyeee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
2,689
Likes
2,794
Points
280
Age
48
Lupyeee

Lupyeee

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2016
2,689 2,794 280
Acha mawazo finyu ww ! Hapo Uzi unajieleza juu. Ofic ya chadema imeingiaje? Ndiyo maana mnafeli
Jengeni ofisi basi .hiyo bar mliyopanga kwa miaka 20 haiendani na tambo zenu
 

Forum statistics

Threads 1,237,207
Members 475,501
Posts 29,281,539