Recent content by Katibu mtendaji

  1. Katibu mtendaji

    Rais Magufuli: Nawaambia TCRA makampuni ya simu yasiyotaka kulipa kodi, Futa kabisa hiyo kampuni!

    Biashara za matapeli zinafungwa zinafunguliwa biashara mpya za wazalendo.
  2. Katibu mtendaji

    Mawakili wa serikali kazeni uzi angalau Lema atoke mwezi wa pili

    Naunga mkono hoja japo chamoto ameshakipta siyo utani naona hata makalio yamekuwa flat kama ya wahindi.
  3. Katibu mtendaji

    Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kusikilizwa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema, akubaliwa ombi lake

    kwasasa nadhani Lema hamu ya kukaa jela itakuwa imeaanza kuisha hata akipata dhamana siyo mbaya maana mwanzo alikuwa na hamu sana ya kukaa jela.
  4. Katibu mtendaji

    Lowassa azungumzia uamuzi wa Rais Magufuli kununua ndege badala ya kutoa huduma kwa jamii...

    Tukikutia vitanzi vya shingo unaweza kuthibitisha hiki unachosema hapa? maana usikute unatunga uongo wako hapa halafu unaona raha kuropoka tu.
  5. Katibu mtendaji

    Kanali Lubinga: Nilijiunga CCM tokea wakati wa chama kimoja

    kunafisadi mmoja alichukua kadi leo kesho kapewa nafasi ya kugombea Urais kwenye chama kimoja hapa tanzania kinaitwa chadema
  6. Katibu mtendaji

    Kanali Lubinga: Nilijiunga CCM tokea wakati wa chama kimoja

    Kwako ujinga nisawa ila siyo kwa watanzania tena koma kabisa.
  7. Katibu mtendaji

    Kanali Lubinga: Nilijiunga CCM tokea wakati wa chama kimoja

    wewe ufisadi wa Lowasa ulikuathiri kiasi kwamba akili zako zimemeguka kabisa lakini kwa usawa huu wa magufuli mtapata shida sana hamtaiba tena mtabakiza hasira tu.
  8. Katibu mtendaji

    Naiona CHADEMA ikifutika katika ramani ya siasa za TZ

    chadema imebakiza matamko tu hakuna chama pale kwisha habari yao kabisa.
  9. Katibu mtendaji

    Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    Nazidi kupata mwaka kutokana na andiko na michango yako chadema lazima wanajua hakianani wanajua.
  10. Katibu mtendaji

    Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    hakika chadema wanajua alipo ben saanane si bure watwambie aliko ben vinginevyo hatuwaelewi.
  11. Katibu mtendaji

    Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

    DU! hizo sifa zote ninazo lkn sijui wewe ulivyo maana huo ni upande mwingine wa filimbi.
  12. Katibu mtendaji

    Wasomi, maaskofu wamsifu Magufuli

    kwa magufuli kila goti litapigwa yupo vizuri sana washindani wake kisiasa wajipange wenyewe wataisoma tena kwa karibu zaidi.
  13. Katibu mtendaji

    Rais Magufuli, omba ushauri kwa Kenyata kuhusu diaspora

    Hawana chango wowote kwa taifa hawa watu wakomae tu na mambo yao.
  14. Katibu mtendaji

    Vijana wa bodaboda wa Mkoani Tabora watoa kilio chao kwa Lowassa

    uhuni mtu hakuna mtu wa bodaboda hata mmoja hapo ni wale watu wenu wa kuwapa elfu kumi wanaandamana.
  15. Katibu mtendaji

    Kinana: Serikali ya Magufuli itaendelea kuteua makada wa CCM nafasi serikalini ili kutekeleza ilani

    mkuu mbona nafasi zipo nyingi tu kwani lazima upate nafasi za uteuzi?
Back
Top Bottom