Recent content by katiba

  1. K

    Who is Benno Malisa?

    Nimesoma na huyu Jamaa UDSM, hakuwa na mvutu wa kisiasa hata kidogo..Uswahiba wake na Riz ndo umemfanya aingie kwenye siasa. Uswahiba wao uliunganishwa na kitu kimoja kikubwa, UKUWADI wa Beno..Kazi kubwa ya Beno ilikuwa ni kumtafutia mabinti Riz..Kutokana na hulka yake ya UTAPELI TAPELI na kuuza...
  2. K

    Kada wa CCM ataka Waziri Mwinyi ajiuzulu..

    Kama ulikuwa hujui, huyu dada ni mjumbe wa halmashauri KUU ya CCM-KUNDI LA VIJANA – UVCCM BARA...huwezi ukasema hana chochote.
  3. K

    Kada wa CCM ataka Waziri Mwinyi ajiuzulu..

    Kada wa CCM Violet Mzindakaya asema ''NINGEKUWA MIMI NINGEJIUZULU'' kwenye ukuta wake wa facebook ‘’MH mwinyi kujiuzulu kwako si kwamba ndo kutakushusha hadhi ila kutakujengea imani zaidi siku za usoni mwako,,,onyesha huruma yako kwa hilo mbele ya tanzania na kunusuru pia serikali ya...
  4. K

    Gaddafi makes bizarre TV appearance!

    Muammar Gaddafi, the Libyan leader, has vowed to fight on and die a "martyr", calling on his supporters to take back the streets from protesters demanding his ouster, shouting and pounding his fist in a furious speech on state TV. Gaddafi, clad in brown robes and turban, spoke on Tuesday from...
  5. K

    Hizi gharama za mawaziri kuishi hotelini zitalipwa na nani?

    Hizi ni TUHUMA nzito sana mkuu! ungetuwekea majina ya mawaziri hao lingekuwa jambo la msingi sana na ingetusaidia wengine kutoa constructive criticism! JF-where we dare to talk openly.
  6. K

    Pinda vs Msemaji wa JWTZ

    1. Maghala 22 yamelipuka na kubakiwa na ghala moja namba 23. 2. Mabweni mawili ya askari wa JWTZ yaliteketea katika tukio hilo.Hali kadhalika magari 22 yaliyokuwa katika eneo hilo. Source - Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana bungeni. Pamoja na uharibifu wote hapo juu,, msemaji wa Jeshi la...
  7. K

    Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete sasa hivi anatembelea eneo la kambi ya Jeshi iliyopo Gongo la Mboto ambayo hapo jana kulitokea milipuko ya mabomu katika ghala namba 5 la kuhifadhia silaha. Nadhani angewawajibisha watendaji wake kabla ya kufika eneo la tukio
  8. K

    Pinda anawajua wamiliki wa Dowans

    Na Saed Kubenea - Imechapwa 22 December 2010 WAZIRI Mkuu wa Jamhuri, Mizengo Pinda amejitwisha zigo lisilobebeka. Litamuangusha. Ameahidi kulipa mabilioni ya shilingi kwa kampuni ya kufua umeme wa dharula, Dowans Holding Tanzania Limited. Akizungumza na waandishi wa habari Ijumaa...
  9. K

    Jk akiri wizi kwenye serikali yake

    GOVERNMENT REVENUE COLLECTION...Kikwete sets 500bn/- target By ThisDay Reporter 11TH JANUARY 2011 BUT WHERE WILL THE MONEY GO? LARGE-SCALE CORRUPTION, MISUSE OF PUBLIC FUNDS DRYING UP GOVERNMENT COFFERS PRESIDENT Jakaya Kikwete has set an ambitious target for the state to collect...
  10. K

    Membe to sue Mwananchi & Tanzania Daima?

    Kwa hiyo membe anawashtaki kuwa hakuya kemea mauaji? Kwa tasfiri nyingine jamaa anaya-support mauaji, halafu nyie mnasema ameyakemea...hivi huyu si ndie wanamtaja taja kuhusu urais 2015..duuh, another timing bomb..hii ni janja ya nyani ya ku-create another headline ili tusahau ndugu zetu haraka...
  11. K

    Maaskovu Vs. Makamba na mgongano wa Arusha

    1.Nikisikia Jina la huyu babu jinga huwa mood yote inaharibika 2.Huwa anakera sana anapojaribu kuwapotosha watanzania na vifungu viwili vitatu anavyovijua kutoka kwenye biblia kwa kuchanganya na siasa zao chafu na za kidhalimu, huku wakisema watu wasichanganye siasa na dini 3.Askofu kusema...
  12. K

    Upande wa pili wa Mizengo Pinda

    Hatuna PM...mbona hilo linajulikana siku nyingi..hii nchi haina viongozi kwa jinsi mambo yanavyokwenda..kama ni gari basi dereve na tingo wameruka, gari linaenda lenyewe, tunasubiri kupinduka tu..Inauma sana! we need change!
Back
Top Bottom