Pinda vs Msemaji wa JWTZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda vs Msemaji wa JWTZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by katiba, Feb 18, 2011.

 1. k

  katiba Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Maghala 22 yamelipuka na kubakiwa na ghala moja namba 23.
  2. Mabweni mawili ya askari wa JWTZ yaliteketea katika tukio hilo.Hali kadhalika magari 22 yaliyokuwa katika eneo hilo.

  Source - Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana bungeni.
  Pamoja na uharibifu wote hapo juu,, msemaji wa Jeshi la Wananchi Luteni Kanali Masoud Mgawe asisitiza kuwa hajutapoteza askari hata mmoja.

  JE KUNA UKWELI HAPO?
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Jeshi lilijua mabomu yatalipuka, kwa uhakika kabisa wanajeshi walisambaa katika vitongoji karibu na kambi hiyo kuwaambia wananchi namna ya kujikinga, waliambiwa watalala chini, wazime simu, umeme ulizimwa sehemu kubwa inayozunguka eneo hilo kabla ya milipuko hiyo kutokea.

  Kama wananchi wangetulia wakalala chini bila kukimbia hovyo kama walivyoelekezwa basi maafa yangekuwa kidogo sana, lakini tutokana na kutokuwa na mafunzo ya kijeshi na woga wa kupoteza maisha basi hayo ndiyo yaliyowakuta, wengi walikanyagana na wengine kugongwa na magari katika process ya kukimbia kuokoa maisha yao.

  Chanzo kimesema Usikivu wa maelekezo ya kijeshi ndiyo yalimsaidia kwani aliingia katika shimo la taka lililopo katika kiwanja chake, yeye na familia kwa muda wa masaa 3 wakati mabumu yanaunguruma. yupo salama.

  Kwa hiyo sishangai kauli ya msemaji wa jeshi kuwa Hawakupoteza hata askari mmoja.
   
 3. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Statement mbovu sana hii.... kumbe askari ana uhai bora kuliko wananchi wengine. wanaoa afadhali hajafa hata askari moja.
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huyo ndio Pinda amepinda kwa Uongo Jibaba zima kazi kukaa Bungeni kuwaongopea Watanzania
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ina maana Jeshi lilijua kuwa kutakuwa na tukio kama hili? Tukio lilipangwa?
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mkuu, haya ni maelezo mazito sana! Hebu tupe source, umesikia wapi.
  kwasababu kama hivi ndivyo, basi hii ni genocide!
   
 7. F

  FUSO JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Kaka ni simple tu, we peleleza vitongoji vilivyo karibu ya kambi - haya yalifanyika. walijua masaa machache kabla ya milipuko kutokea ila walikuwa hawana njisi ya kuyazuia na ndiyo maana wao hawakufa kwani wanajua jinsi ya kujiokoa.

  Walijaribu kuwaelimisha wananchi wachache lakini muda haukutosha na ni vigumu mtu wa kawaida kuambiwa ukisikia bomu lazima ulale chini kwani bomu likiamguka na kupasuka hushambulia kuanzia mita 2 hivi kwenda juu kwa 360 degrees kwa hiyo anayekimbia ni rahisi mno kufa kuliko aliyelala chini.

  sasa kilichotokea mabomu yakiangua yanaruka na kuwashambulia ndiyo maana utaona watu wamekatika mikono, mabega n.k
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huu ni mchezo mchafu sana, tuliwashika koo kuhusu dowans na kupanda kwa dei ya umeme wakaleta la kutupooza maaafa ya gongo la mboto now watu wamesahau dowans, jk mjanja sana kawaambia lipua ghala moja watu wakae kimya tumlipe rostam fedha zake .................... ila haya yana mwisho naamini hivyo
   
 9. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  POSIBLE KAMA WANAJESHI WANGEKUFA SASA INA MAANA GANI KUWA MWANAJESHI INA MAANA VITANI UNAENDA KUFUGA MABOMU AU KUYATUMIA NA KUYAKWEPA??NAAMINI KUNA UWEZEKANO MKUBWA TUU KUWA WANAJESHi HAWAKUFA
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Baba wa Taifa angekuwapo haya mambo yasingefikia hatua hii, watu wanajifanyia mambo bila hata kumwogopa mungu na kwamba siku ya Hukumu ipo. JK unashindwa kabisa kutatua Umeme, Maji na Huduma za afya? mbona hela zipo nyingi tu?

  Kama huwezi kwa nini basi unachukua KODI zetu? hii ni dhambi kuchukua pesa za watu then mnatumia kununulia magari yenu ya kifahari - Hivi pale ikulu una magari mangapi Jumla? ya nini yote hayo? hivi tume zako zote unazounda zina umuhimu wa kuwapo? Ni kweli una uchungu wa nchi ya wananchi wake toka rohoni kwako?

  Tukisema ukweli mnasema tumetumwa na vyama vya upinzani - jamani sisi ni wananchi wa nchi tu tuna uchungu tunaona nchi as if haina kiongozi tunajiendea tu.

  Majeraha ya Mgawo hayajaisha, tumerudi kwenye Mabomu tena na Kamati nyingine tena - Hivi ile Kamati ya Mabomu ya Mbagala ilifikia wapi? ilipendekeza nini kwa serilali au walikula posho wakatengeneza riport ambayo nayo haikufanyiwa kazi?

  Hivi kiongozi akidanganya umma anatakiwa afanywe nini? jamani mi naona nchi hii ni kwishinei - wahindi washasema- tanzania hakuna kitu bana, pesa pesa kila pahala nchi yenu kwisha kazi bana.
   
 11. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hii kauli inakera....mlitaka kila kitu afanye Nyerere? Wajibu wetu nini kama raia
   
 12. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  sasa mbona wakuu wanaongea kama vile ilikuwa accident? na wanasema ilitokea bahati mbaya, hata Shimbo anasema wanadhani kilichosababisha ni radi au joto....sasa kama walikuwa wanajua pre.....basi wanatudanganya.....this is serious.
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Askari wa Basement store walijua "kabla" kuwa mabomu yataripuka na wakawahi kukimbia - tatizo ni kwamba hii taarifa ilikuwa "leaked" as the entire "accident" was pre-arranged!!!!

  Mtajua baadaye
   
 14. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 424
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Mkuu hebu tujuze hawa walio arrange hii kitu walikuwa motivated na kitu gani hasa? lengo lilikuwa nini?
   
 15. Bams

  Bams JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 3,596
  Likes Received: 2,978
  Trophy Points: 280
  Katika mentality ya kijeshi, huo ndiyo ukweli wenyewe. Katika jeshi husemwa kuwa aheri kupoteza raia 100 kuliko askari 1; wapigaji 30 ni sawa na ofisa 1 wa cheo cha luteni 1, brigedia mmoja ni sawa wapiganaji 5,000. Wale wapiganaji wanaoongozwa na ofisa, wote kwa pamoja ndiyo huwa sawa na thamani ya yule ofisa anayewaongoza. Kama hujui huo ndiyo ukweli kwa fikra za kijeshi. Kwao watu 20 waliokufa, ni afadhali kuliko kupoteza askari 1.
   
Loading...