Who is Benno Malisa?

Who is Benno Malisa?

great thinkers, lets discuss beno from the political point of view and not his personal life, cause e one has a past and in our set up that does not matter!
 
Benno Malisa amesoma na Ridhiwan degree ya sheria UDSM, wamemaliza wote mwaka 2005.
Hawa jamaa wawili hawakuwahi kuwa marafiki mpaka point ambayo Ridhiwan aliamua kugombea upresident wa faculty ya sheria sometimes mwaka 2004.

Ghafla Benno akajitokeza na kupromise kumpigia kampeni, Ridhiwan alikuwa hakubariki kabisi kwa sababu upstares ni maji kabisa, yaani wakati watu mnadiscuss serious issues achelewi kuongea pumba, very irressiblly indeed. Benno ni talkative (pumba lakini, he does not wait to have evidence, anazungumza saaaana, yaani ni best MC material, ni mbishi anamatusi mdomoni usiombe, hana aibu hata kidogo na anapenda kuuza sura sana). so ridhiwan akapata kampeni manager.

Ridhiwan akashinda na kama kawaida ya watoto wa JK, I am sure Benno alipata access ya seating room ya Jakaya and so Benno is there.

Hebu tujuze, baada ya kuingia kwa JK, yuko salama ama ndio kibaraka? Je, hajanunuliwa/kutishwa na mafisadi? Je, na wenzake wako salama? Katibu Mkuu wake, Shigella Martin yuko salama? naye alikuwa wapo kabla ya kuteuliwa kuwa DC wa Lindi? Je, ni Shigella yule yule ambaye alikuwa na kesi ya kughushi polisi?
 
tuulize sisi tukwambie huyo kiongozi wako mbowe enzi zake wakati anafukuzia wanadada pale kwenye lango la jangwani. Mbona sasa mwenyekitu.

Lazima ujuwe watu ubadilika

hapa mnanichanganya mbona mtoa mada anasikitika kama mwana ccm anaiona ccm iendapo pabaya?
 
Lakini what is UVCCM by the way? Naona hiki kikundi kimepata airtime hivi karibuni nabaki kushangaa. Hakuna cha msingi kudiscuss kuhusu Benno Malisa. Wote ni waganga njaa hawa. Hawana jipya la kuleta mbele ya watanzania kuwakomboa na umaskini zaidi kuuza sura tu kwenye magwanda ya kijani.
 
mmhh kumbe! sasa watakiona pindi BAVICHA itakapokamilisha uchaguzi wake.
 
Hawa vijana wote masharobaro wameingia katika siasa kwa ajili ya kupata fedha harama kwa njia za kujikomba na kujipendekeza wanatumika kulinda maslahi ya mafisadi. Naahidi kusimama mwenyewe 2016 kuendesha mashtaka dhidi yao kwa huo udhalimu wao mara CDM itakapochukua nchi 2015.
 
Lakini what is UVCCM by the way? Naona hiki kikundi kimepata airtime hivi karibuni nabaki kushangaa. Hakuna cha msingi kudiscuss kuhusu Benno Malisa. Wote ni waganga njaa hawa. Hawana jipya la kuleta mbele ya watanzania kuwakomboa na umaskini zaidi kuuza sura tu kwenye magwanda ya kijani.
<br /

<nakupa senksi kibao mzee,umemaliza yote>
 
Generally speaking the man probably thinks he has some kind of master strategy, basically involving being a minion to the likes of Lowassa and whoever else he deems to be in the best position. Typical realpolik. But one thing that appears to be beyond the ability of most Tanzanian politicians is the normally requisite ability to forecast socio-economic dynamics. If you want to be successful in politics its necessary to be able to model what is likely to happen politically in the country,region and world in your brain in the short, medium and long term. Particular emphasis should be in the latter two. Mind reading is not a talent I claim to posses but what I can deduce from the actions of the quite generic politician ie Malisa, Ridhwani na hata lowassa...etc, wanashindwa kupiga masesabu kwa kuzingatia msimamo wa wananchi, labda kwa sababu wao wananunulika basi inakuwa kama watanzania wote wananunulika.

Lakini vile vile kama Lowassa anauwezokusponsor campaign za wanbungue wengi, (some sources say 25%) ya wabunge wa CCM basi inamaana katika siasa za Tanzania sio strategy mbaya (in short-term practical as opposed to moral sense). Lakini jee kununua traditional media, wabunge na viongozi mbali mbali haswa katika ngazi ya taifa, mikoa na wilaya kunaweza kuguarantee kuwa watu kama hawa wanaweza kuingia ikulu? Ukichukua mtandao wa Lowassa na JK wa 1995-2005 then the answer is evidently YES.

On the other hand if you take into account recently explosive corruption scandals (which by the way are not as bad as the Mkapa era under the privatization etc..) plus the bad economic situation caused by mismanagement of resources and global economic downturn. What is the result.? It appears to me that when there is corruption (as under Mwinyi, Mkapa, JK) people react the most when the economic hardships keep reminding them of the situation. And so the rise of CHADEMA through popular support, rise of a dissatisfied 'middle class' (wengi mmejaa humu JF. Wafanyakazi wa wizara mbali mbali, mashirika ya umma, NBC, NMB, CRDB, Voda, TIGO, Zantel, UDSM, you get my drift). The working class too seems to support this new political awakening (wafanya biashara wadogo wadogo, vijana wengi mijini [kama inavyoonekana katika majimbo mapya ya CHADEMA haswa Dar es Salaam; Kawe, Ubungo na miji kama Arusha, Moshi, Mbeya etc])

Kwahiyo ukitaka kujua nani atakuwa mgombea wa CCM (kama wanajipenda) 2015 inabidi kuzingatia kuwa akili timamu inalazimu CCM kuchagua mtu ambae hatokua na madoa Makubwa kama Lowassa na kadhalika. (Japokuwa kunauwezekano wa viongozi wajinga kufikiri wanaweza kujiuza kwa kina Lowassa na kupata nafasi kisiasa; jambo ambalo ni raisi sana ingawa itawamaliza CCM).

Kwahiyo hii kamari wanayocheza kina Malisa ni ngumu japokuwa kuna uwezekano ikawapa 'bingo'. Bahati mbaya sana haya yoooooote yanamchango mdogo sana katika jitihada za kumkomboa mtanzania. Itachukua ufanisi wa hali ya juu kutoka kwa viongozi kutoka chama chochote kitakacho shinda uchaguzi huu either katika Bunge na nafasi ya Urais. Ukweli ni kwamba vyama vya upinzani kwa sasa wanafasi nzuri sana ya kujijengea uwezo wa kisiasa na ki ufanisi katika kuongoza nchi (parliamentary oversignt, regional and municipal levels etc).

Ila vile vile inabidi watafute njia mbali mbali ambazo zitawasaidia watanzania in real terms. Hili ndio jambo la msingi ambalo wanatakiwa kufanya...kuwaonyesha wananchi (especially on a micro scale) kuwa wanauwezo wakuinua hali ya maisha kinyume na serikali ambayo imekuwa madarakani kwa miaka kumi na chama ambacho kimeshindwa kuridhisha matakwa na matumaini ya watanzania hata baada ya miaka 50.

Yatakayo jifumbua katika miaka kadhaa ijayo: Je CCM inaweza kufanya chochote cha maana kitakachowarudisha katika nafasi ya kuaminiwa na wananchi wengi zaidi ya hivi sasa au wataendelea na hali yao kama chama yakutokutambua mienendo ya nyakati na mabadiliko katika hali ya kijamii, kiuchumi na kisiasa nchini Tanzania na katika Africa.

Vile vile vyama vya upinzani na haswa CHADEMA kwa sasa, wataweza kutumia nafasi waliyonayo na hali ya kiuchumi na udhaifu wa serikali ambayo tayari imekaa madarakani kwa miaka 6 kuelekea 10 (ambayo wengi wameichoka- for inherent as well as unrelated reasons). Inahitaji mpangilio wa hali ya juu na utashi waki siasa wa hali ya juu zaidi ya hapo. Mpaka sasa kuitisha maandamano kumewashtua CCM kwasababu ya matukio ya nayotokea kwingine North Africa huko. Lakini hii haitoshi inabidi kuwa na sound policy na kuwa na pilot projects to demonstrate the capacity and intentions of the opposition. In other words, politics beyond words (both spoken majukwaani and written in hansard and legislation). Something the people can see (na sio zahanati tuu na matawi ya chama).
 
Tuulize sisi tukwambie huyo Kiongozi wako Mbowe enzi zake wakati anafukuzia wanadada pale kwenye lango la Jangwani. Mbona sasa Mwenyekitu.

lazima ujuwe watu ubadilika

Kichaa si lazima awepo jalalani akiokota makopo.........na nimeamini watu wote tuna asilimia fulani za ukichaa,umenisaidia kumalizia utafiti wangu wa kwanini watu wanaongea mambo bila kufikiria.............
 
What?? nilikua sija wahi ona sura yake , kumbe huyu ni yule jirani wa Bongoyo st .
 
Jaribu kuwa makini na lugha ya watu; gay na guy ni maneno mawili tofauti. Gay ni tusi kubwa ndugu yangu. And what is discusing the issue? Perhaps you meant discussing the issue.

Gay ni tusi kubwa!!!, inategemea na society unayoishi ndugu yangu. In some society you will be explicating HOMOPHOBIA . Muulize vizuri mtoa thread alikuwa na maana gani. Great Thinkers kuweni makini na comments zenu, JF inawanachama all over the world.
 
WABUNGE NA VYAMA VINAVYOTAMANI KUHESABIWA UMAKINI TANZANIA:
TAFUTENI HARAKA ELIMU SAHIHI JUU YA MAANA, CHANGAMOTO NA USHIRIKI WA MAFANIKIO NDANI YA MFUMO MPYA WA 'SIASA ZA USHINDANI' ILI MUENDELEE KUMUDU NA KUDUMU

Ingawaje tunapozungumzia vyama nchini na vituko vinavyoendelea kushudiwa mle, wengine wakitafsiri vibaya matumizi ya MBINU ZA KISASA ZA KUTUMIA VEMA 'SILAHA SALAMA' YA MAANDAMANO inayokubalika pia ndani ya Katiba za nchi mbalimbali duniani wengine huanza kumwaga chuki kashfa na wakati mwingine hata kusababishia watu kucheka mbavu kuuma lakini baada ya kicheko ni wazi kwamba kuna mambo mengi sana ambayo watu na vyama, kama washiriki, kwa bahati mbaya hawajagundua kwamba tayari yamebadilika kabisa na kamwe hayatokaa yarudi kuwa kama zamani kisiasa nchini.

Kweli ni masikitiko makubwa sana kwamba watu wengine hufikiria kwamba mtu unaweza tu ukaingia kwa jambo lililoitwa 'jipya' lakini bado ukatumia tu mbinu zile zile, lugha zile zile, na kashfa zile zile na bado ukaendelea tu kufanikiwa; laa hasa!! Pindi usikiapo kuna mabadiliko, kwa wale watu wadadisi wa mambo, ni sharti utafute kujua ya kwamba (1) ni kitu gani hasa kilichobadilika, (2) kivipi kimebadilika, (3) kwa sababu zipi, (4) na huko nyuma hali ilikuaje na sasa yakoje, (5) je mimi mwenyewe naendana na au siendani na mfumo huo mpya kwa kiasi gani hasa, (6) nifanye jitihada zipi (si kwenda Mlingotini) zinazokubalika ili niendane na mfumo mpya kwa namna ambavyo nitapata uhakika wa kung'ara KIUTENDAJI (si ki-ndumba) ndani na nje ya chama changu kusudi nisiwe mzigo wa chama na wapiga kura wala kulazimika kupanda BP kila wakati ...

... na maswali kama hayo yafanyiwekazi KIUHAKIKA NA UNYENYEKEVU zaidi wa kutafuta kule upya wa KUJIVUA GAMBA LA ZAMANI kwa wakati mwafaka na kujivisha GAMBA MPYA NA INAYOKUBALIANA NA MAZINGIRA YALIOPO na kwa mtindo utakaompendeza zaidi yule bosi na au mlaji wako wa mwisho ambaye ni MHESHIMIWA MPIGA KURA.

Bila kufanya hivo basi niwaambieni HABARI MBAYA SANA kwamba kwa kipindi cha miaka michache ijayo, kwa tafsiri yangu ya mambo kitaaluma, bunge letu huenda ikabahatika kupata ugeni mkubwa wa Wabunge Vijana zaidi, Wasomi zaidi, na hata wakawashangaza zaidi wazee kwa kushinda kwao Uchaguzi kiurahisi zaidi bila hata kuhitaji utajiri mkubwa wa kuhonga mtu alimradi mtu huyu aje asome ninayoyaandika humu, akayafanyia HOMEWORK ya kufa mtu ndani ya miaka miwili mitatu hivi na kisha anapojitokeza ulingoni atakuta anazungumza lugha inayooana zaidi na mazingira yaliopo, akawa anazungumza na baadaye kushughulikia zaidi matatizo hasa yanaokubaliana fika na matarajio ya mabosi wake; waheshimiwa wapiga kura.

Nirudie kwamba kwa sasa hivi ni rahisi mno kwa mtu anayejua dhana ya SIASA ZA USHINDANI unaotegemea nguvu za idadi na U-smart wa watu wanaojitokeza kugombea ukilinganisha na kuendana kwao na mahitaji halisi ya wakati uliopo wa mlaji wa mwisho wa HUDUMA ZA KIUONGOZI anazotarajia kutoa akishinda.

Ndio nasema kwamba wapo wanasiasa wengi ambao bado huendesha mambo yao kisiasa lakini kwa kutumia fikra na mbinu za zamani katika kipindi ambacho ni tofauti kabisa. Huko nyuma siasa za fitina, majungu, kuunda zengwe, kupiga domo na kumwaga hewa tupu, kununua vyeo na wapiga kura, mtoto kurithiswa chama cha siasa cha kufuata, kurithishana uongozi na mambo kama hayo yote yalihesabiwa kuwa ndio ujanja zaidi mtu kuitwa mwanasiasa mahiri. Hii hali inaelezea hasa kwa nini Tanzania tumejitawala wenyewe karibia miaka 50 na mambo bado ni ki-mishen tauni tu toka ngazi ya kata hadi ofisi inayostahili heshima ya hali ya juu inayoitwa ikulu nchini. Ajabu kote huko kumebakia woga tu na wala si heshma kwao.

Kwa wale ambao walau tumewahi japo hata kusikia kitu 'MFUMO WA SIASA ZA USHINDANI' napenda niseme kwamba hii ni sayari nyingine kabisa ambayo pale bungeni kwetu Dodoma, kama sikosei, zaidi ya ile dadi kubwa ya wabunge karibia 400 huenda chini ya asilimia 10% tu ndio wanaoifahamu kwamba ni kitu gani hasa hiki. Lakini kwa kuwa siku zote wanasiasa huhesabika kuwa ni watu mashuhuri kwa kujua kila kitu (MR / MS I-KNOW-ALLS) naona nafasi ni finyu sana kwa wale wengine zaidi ya 360 kuhiari walau kujishusha na kwenda kutafuta elimu juu ya hili ili uwepo wao bungeni uendelee kuwa na uhakika pamoja na tija kwa jamii kutokana na yeye mwenyewe na au chama chake kama kundi zima.

Guys, an imagination of a possible political landscape without CUF around just but most ungratifying to witness.

The case would never be the same as it would apply to TLPs, NCCR-Mageuzis and the UDPs of this World that has practically been consigned into political Limbo courtesy of the prominently trenched Self-Seeking behaviour, The Politics of Double-Tongue lashing and Own Course Self-Agrandisement by many in their ranks.

Niliposema kwamba Juliasi yule wa DARUSO enzi zile wala si huyu hapa na kwamba kwa bahati mbaya mno akina Maalim Seif wamemfichia mi-faili nyeti zenye kuonyesha (1) sura halisi ya CUF, (2) Malengo ndani ya sera yao mpya ya 'Kujiunga Muafaka na Nguruwe Kuchakaza shamba Mabua yote' na hatima yake.

Ndio, na wamemficha pia Juliasi faili iliobeba (3) tafsiri za wananchi Bara na Visiwani kama kweli walichokua wanakitafuta CUF ilikuani UTULIVU tu Zanzibar au AMANI KAMILI kwa kurejesha kwanza HAKI NA MASLAHI KWA UMMA wa nchi hii.

Si utani na mikutano ya wenzetu inapoondoka Kidongo Chekundu pale kweupe Mnazi Mmoja hadi kule mitaa ya Mwisho wa Lami Gongolamboto, Mtoni kwa Azizi Ali Mara Manzese Kwa Bibi Mfuga Nyau ... kweli hii ni a Big Change in the Wrong Direction; yes it is a most demoralising experience and transition that bothe CUF are currently walking dow the political memory valleys kwa kupingana tu na Maslahi ya Wapigakura nchini.

In fact, a more compelling question that analysts would soon surrender to evader no more is that 'of what use is an army commander if all foot soldiers are long-gone?' I just tend to hope that the NOW apparent CUF Career Presidential Candidates Hon Maalim Seif Sharrif Hamad (Visiwani) and Prof Ibrahim Haruna Lipumba will, at least, seek an escape to some remote hotels may be around Uluguru Mountains and conduct a most sincere Worst-Scenario Self-Evaluation.

Yes, they would certainly need to do that long before they could similarly seek an independent expert hand to equally do the same to the very CUF as a party and ultimately hand down the CUF Secret Files stored far away in Chake Chake - Pemba to Juliasi Mtatiro and other remnant youths to help chat out a possible next course of action - either to Revive or Survive their own way and a lot sooner the better!!

To this end, I just DON'T see myself leaving out CHADEMA for a more freequent (4-Month Periodical Independent & Credible) monitoring and evaluation about their yesterdays, todays and tomorrows. Waberoya, Mwanakijiji and myself can most competetly string them to this own-face behind the mirror scene for a more re-assuring future.

And this is where all political parties, just like any other business establishment known around, are bound to most willingly go or never!! The market-based COMPETITIVE POLITICS that we tirelessly seek to live to-date (Democratic Multipartism) is just but more dynamic, most enveloping and so demand both at group and personal levels such that a POLITICAL HERO / HEROES of yesterday is NEVER guaranteed tomorrow unless they 24 / 7 choose to obay Philip Kotler's dictates to keep their eyes to the ground to catch the most correct scale of the electorates' next-day heartbeats and seek to serve them in the best way possible on TIME and in a WAY that a competitor (another political Party or an opponent within your party or across) would never far easily pick a match.

In a nutshell, after luoghing of my friend Julious Mtatiro's most impending political misfortunes, like is lately the case with CCM, with his political party CUF that daily diminishing in value in the eyes of the HONOURABLE ELECTORATES, may I point here that the Political Landscape is fast-adjusting with youth on the steerwheels, things turning high-tech almost in a speed of a click of a computer mouse away such that the yerteryears inherently incompetence and majungu / fitina in political arena shall soon NEVER be tolerated BUT only practical positive results in public goods to the general public that shal be mattering and not even a mere name of a political party of the neighbours shall ever count.

Wazee, huku ndiko tunakokwenda; hakuna watu kulala tena bungeni na kujigeuza wataalam wa kuzungusha maneno badala ya matunda kuonekana. Huko katika ulimwengu ulioendelea utasikia pengine chama chake Obama kimeshinda kwa wingi leo na keshokutwa kwenye Mid-term elections ukasikia wamepigwa chini zaidi ya nusu na Waheshimiwa Wapiga kura kwa kutoridhisha kiutendaji.

Nasema na ieleweke kwamba ule utamaduni wa 'HIKI NI CHAMA CHANGU NA FAMILIA YETU NZIMA tangu enzi za babu hivyo sitoweza kukihama' itakuja kutoweka bila hata ya wengi wetu kujua. Hatutopigia kura tena (1) SURA za watu, (2) MAJINA YA VYAMA bali tu (3) kwa kiasi Gani Wametuletea sisi Wapiga Kura Matunda tuliokua tukiyatarajia.

Hizo ndizo misingi halisi za siasa za ushindani huko tunakoelekea ambapo VIJANA WENGI NA WASOMI nchini ndio idadi yao inaendelea kuwa kubwa nchini. Hivyo kitendo cha Chama kubahatika kupewa ka-nafasi ya kuongoza na kisitumie vizuri KUJING'ARISHA mbele ya macho ya wapiga kura; badala yake kikajiroga kwenye kujiingiza kwenye Vitendo vya Kifisadi, basi siku kikipoteza nafasi hiyo ujue fika chama hicho kitatiwa LOCK-UP na wapiga kura kwa muda usiojulikana sawa yake KANU wa Kenya ambacho hivi leo kisiasa wala hakizungumzwi hata kwenye nafasi ya nne ki-umaarufu.

Na atakayesoma maoni haya ampitishie na kiongozi wake wa chama chake, kata, wodi, jimbo na taifa ili tukija kuwatia LOCK-UP kwa uwezo wa kura zetu wasije wakasingizia hawakuelewa kama sheria za mchezo wa siasa za ushindani ni tofauti kiasi hicho.

Mwisho nimalizie kwa kusema kwamba enyi mlioko madarakani ambao bado ndio mnaoonekana wakubwa kwa sisi Wapiga kura, malizieni salama utamu huo kwa vile wengi wetu hawajaeleweshwa; tangu hapo 2015 na kuendelea MPIGA KURA NDIYE ATAKAYEGEUKA MFALME kwa kipindi chote na wala si kwa wakati wa wiki 2 au 3 za uchaguzi tu.

Chukua hatua ewe unayefikiria kuja kua kiongozi wa ngazi yoyote hapo baadaye kidogo ili usije ukafa bure na shinikizo la damu kwenye mfumo mpya wa siasa ndani ya mipaka yetu!!
 
Nimesoma na huyu Jamaa UDSM, hakuwa na mvutu wa kisiasa hata kidogo..Uswahiba wake na Riz ndo umemfanya aingie kwenye siasa. Uswahiba wao uliunganishwa na kitu kimoja kikubwa, UKUWADI wa Beno..Kazi kubwa ya Beno ilikuwa ni kumtafutia mabinti Riz..Kutokana na hulka yake ya UTAPELI TAPELI na kuuza sura, hii kazi ilimlipa sana, akawa karibu na familia ya kikwete..wakamtumia kufanya kampeni kwenye mchakato wa kumweka JK kama mgombea wa CCM. Sifa kubwa ya huyu jamaa in summary ni UKUWADI, UMALAYA,TAMAA, UTAPELI NA KUPENDA KULIPIWA BILL SANA KWENYE SEHEMU ZA STAREHE. Thanks Lord he is at CCM, and he is doing great job to destroy it.
 
Benno Malisa amesoma na Ridhiwan degree ya sheria UDSM, wamemaliza wote mwaka 2005.
Hawa jamaa wawili hawakuwahi kuwa marafiki mpaka point ambayo Ridhiwan aliamua kugombea upresident wa faculty ya sheria sometimes mwaka 2004.

Ghafla Benno akajitokeza na kupromise kumpigia kampeni, Ridhiwan alikuwa hakubariki kabisi kwa sababu upstares ni maji kabisa, yaani wakati watu mnadiscuss serious issues achelewi kuongea pumba, very irressiblly indeed. Benno ni talkative (pumba lakini, he does not wait to have evidence, anazungumza saaaana, yaani ni best MC material, ni mbishi anamatusi mdomoni usiombe, hana aibu hata kidogo na anapenda kuuza sura sana). so ridhiwan akapata kampeni manager.

Ridhiwan akashinda na kama kawaida ya watoto wa JK, I am sure Benno alipata access ya seating room ya Jakaya and so Benno is there.

SI KWELI HATA KIDOGO NA KAMA HUMJUI MTU USIMZUNGUMZIE SIO VIZURI NA WALA SIO USTAARABU,MIMI SIO MSHABIKI WA CCM LAKINI NAMJUA BENO MALISA VIZURI SANA NASEMA HE IS MY FRIEND TOKEA ZAMANI NA BADO NI RAFIKI YANGU THOUGH TUNAPINGANA KIMITAZAMO LET ME GIVE A BIT OF HIM;

-BENO ANA AKILI SANA ZA DARASANI NA ZA MAISHA
-NI MTULIVU NA ANA AIBU YA KUONGEA KILA SIKU NAMUULIZA ALIINGIAJE KWENYE SIASA ILHALI SIO MSEMAJI
-NI MTOTO WA MKULIMA NA AMELELEWA KIPADRI SANA,KWA HIYO ANA MAADILI YA KIKATOLIKI
-AMESOMA HIMO PRIMARY SCHOOL NA BAADAE MARANGU SECONDARY THEN DON BOSCO HIGH SCHOOL ,HALAFU LLB UDSM
-ANA MASTERS YA SHERIA LLM
-ALIMSAIDIA SANA RIDHIWAN KIMASOMO UDSM KWANI MTOTO WA RAISI ALIKUWA KILAZA WA KUTUPA
-WALE WANAOKUMBUKA KAMPENI ZA RIDHIWAN PALE UDSM BENO HAKUWA MSEMAJI HATA KIDOGO ALIKUWA THINK TANKER WETU NA MIMI NILIKUWEPO NA NILIKUWA MSEMAJI SOMETIME NOT ALWAYS ,BENO ALIWEZA KUPANGA MIPANGO NA IKAPANGIKA
-AMEALIKWA MARA NYINGI NYUMBANI KWA JK NA ANAIJUA FAMILIA YA JK TOKEA AKIWA UDSM,MARA KADHAA TUMEENDA PAMOJA KULA BIRTHDAYS NA WINE ZA NYUMBANI KWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE
-UTULIVU WAKE NA POSITIVE MIND ZIMEMFANYA KUKUBALIKA HATA NA MAFISADI NDANI YA CCM NA HATA SISI WA UPINZANI TUNAMKUBALI KWA KIASI
-KILA MWANACHAMA MWENYE JINA NDANI YA CCM ANAAMINI BENNO NI KICHWA NA KWA SABABU YA UPOLE WAKE ANA WAKUBALI WOTE HAWEZI KUSEMA HAPANA
-HAJANUNULIWA NA MAFISADI ILA HANA MSIMAMO

ANAWEZA KULETA MABADILIKO LAKINI SIO KUONGOZA MABADILIKO



msimlaumu sana amezungukwa na watoto wa mafisadi ila ni MTU SAFI
 
Taarifa za kiintelijensia hazionyeshi kama anatokea familia ya 'kifisadi'. Inasemekana alikuwa msanii tuu, tangia anasoma Marangu sec hadi UD, na aliwahi kushiriki utapeli wa kutoa scholarship hewa, ili kukusanya application fees.

Sijui ndani ya usanii huo alifanikiwaje kujipenyeza ndani ya CCM, na kuukwaa amakamu wenyekiti wa UVCCM.

Kinachofanya nidadisi taarifa zake, ni kutokana na siku za karibuni huyu kijana kushiriki kikamilifu katika njama zinazoonekana kuwa ama kwa makusudi, au kwa kutojua ni za kuiua UVCCM.

Yule Bw mdogo Sabato juzi aliwaambia live kuwa wanaonekana live kuwa wananunuliwa. Kwangu mimi kununuliwa sio tatizo, tatizo ni pale unaponunuliwa kuiangamiza nyumba unayoishi. Hivi ikishaangamia utaishi wapi?

Benno ni tofauti na akina Ridhiwani, Bashe, Nnauye n.k ambao wanajua kabisa kuwa wana maisha mapaaaana, nje ya UVCCM. Lakini huyu kijana anajiamini nini? maana inavyoonekana, kitendo cha kuinadi UVCCM kwa mafisadi kwa bei nafuu kiasi hicho, lazima mtu uwe 'umeaga kwenu'...

Hebu wenye kumfahamu huyu kijana na kinachomfanya ajiamini watujuze... ni pesa, ni kazi nzuri, ni elimu kubwa... au ni nini?

Ina maana hizi taarifa zako za kiintelijensia hazikukuwezesha kufahamu masuala ya pesa, kazi na elimu ya huyu jamaa? Mbona ulishaeleza kuwa hatoki familia ya kifisadi na kuwa amesoma mpaka UD!! Kwa nini usimuulize huyo aliyekupa hizi taarifa ili akufafanulie zaidi?
 
Back
Top Bottom