Recent content by KatetiMQ

  1. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

    Wala usifikirie Mara mbili kwa sasa hilo jambo jepesi sana
  2. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

    Kwa namna soka la kisasa lilivyo hilo sio jambo la kushangaza kabisa siku hizi mechi za mpira wa miguu zimekosa uhalisia kutokana na kamari na kibiashara zaidi hata baadhi ya mechi kubwa na matukio makubwa ya kisoka yako scripted rejelea mechi ya yanga vs mamelod sundowns na ile fainali ya...
  3. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Kama lipi
  4. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Ndio nahitaji kwa nn umeuliza hivyo
  5. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mrembo

    WhatsApp iko pw zaidi
  6. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Kazi za viwandani sio kazi, ni zaidi ya mateso

    Kazi kani nicheki PM tuongee
  7. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Nipe namba yako
  8. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Kazi za viwandani sio kazi, ni zaidi ya mateso

    Natoa laki mbili kwa atakaenitafutia kazi sheli au yeyote nzuri
  9. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Unaelewa ninachokimaanisha au umekuja kubishana
  10. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Zipo kazi za kuumizana na sio ajira za kawaida umewahi kwenda pale darling mbagala umewahi kwenda kujionea kazi wanazofanya watanzania pale cello temeke mwisho na sehemu nyingine nyingi ambazo wanachukulia mtu mwenye shida ya kazi kama sio binadamu wa kawaida Kama ipi
  11. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Wakuu nimekwama kweli kweli mtaani kugumu hali mbaya kwa mwenye connection ya kazi iwe sheli au yeyote nzuri naombeni elimu yangu form 4 nitakupa laki na nusu kama ahsante 🙏🙏🙏
  12. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwekezaji wa kuwekeza milioni 50 katika Hotspot Business, mtaji utarudi ndani ya miezi 6

    Nielekeze vizuri na mimi kama naweza kufanya Ila mimi sio mwekezaji naomba kujifunza tu
  13. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Bajaji ya Mkataba au ya Kipande nipo Dar

    Kwa nn kk
  14. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Vipi wadau hata VPN imezuiwa kuunganisha Tanzania?

    Tumieni thurnder
Back
Top Bottom