Watanzani ni waajabu sana, eti leo tumesahau kbs waliyotulisha na kutuaminisha majukwaa kuwa lowassa ni fisadi, hao hao akina mbowe, slaa, lema, mbatia, lipumba wanamsafisha na kumnadi kuwa ni mtu safi. Dah kichefuchefu cha siasa. Watu wanapiga deal kwenye mgongo wa siasa Vs wananchi.
Pumba tupu hakuna cha maana walichoongea, zaidi ni kutumia vibaya fedha za walipakodi. Waamedanganya umma kuwa dr.slaa anakuja kumbe Lissu, wananchi wamehoji slaa yuko wapi wamekosa majibu! Shame of u Lissu.
Waandishi wa habari ni wanafiki sana! Wao ni watu wanaoeleza jamii umuhimu wa mawaziri wanaoendana na field zao, leo wanamponda nkamia, huo ni ubabaishaji na ukanjanja. Wao wapige kazi na sio kujenga hofu na kuturudisha nyuma, mwabwege kbs. HONGERA KK NKAMIA PIGA KAZI WENGINE TUNAJUA UWEZO WAKO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.