Info zaidi tunaombaMadiwani ktk halmashauri wilayani hanang wameazimia kumsimamisha ded hanang ndg.FELIX MABULA kutokana na tuhuma za ubadhirifu.
ungepunguza haraka kidogo ili upate mambo mengi ya maana ili kutupunguzia muda wa kujiuliza maswali yasiyo na majibuMadiwani ktk halmashauri wilayani hanang wameazimia kumsimamisha ded hanang ndg.FELIX MABULA kutokana na tuhuma za ubadhirifu.
Mkuu wao ndiyo wana mamlaka ya nidhamu kwa ngazi ya halimashauri,ondoa mashaka wana mamlaka hayo.Lakini mleta taarifa angetujuza zaidi ...maana ameiyacha taarifa angani.Hawana mamlaka hayo.