Matatizo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla; ya Juzi,Jana,Leo na kesho ni yaleyale tu; Kwa maana kiiini ni kilekile;
Ukosefu wa maono na maarifa.
Ukosefu wa utashi na maamuzi.
Ukosefu wa nguvu ya sauti Moja(umoja).
UBINAFSI 👈👈👈
Kwa iyo tatizo si la CCM au CHADEMA! Tatizo ni sisi wenyewe watanzania...
Jamani tuongee yote lakini tutambue kuwa hii ni vita Kali Sana Tena vita ya uchumi, kuhusu malema ni kwamba ,, "he who feeds you controls you". Thomas Isdore Sankara ✍️✍️
Tukirudi nyumbani hayo matatizo ya nguvu za kiume hayatokuwepo! Tule vyakula vya asili,kupate muda wa kutosha wa kupumzika,Tuepuke vyakula/vitu vevye viambata vya sumu na kemikali mbaya,tupige mazoezi n.k
Turudi nyumbani Afrika!!✍️✍️✍️
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.