Recent content by KATASAN'KAZA

  1. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Mpasuko CHADEMA ujio wa Dkt. Slaa, viongozi wagawanyika

    Kati yako na dr. Slaa nani aliumia yeye aliyeondolewa ugombea wakamweka Lowassa Jambazi kuu, na yeye aliyeamua kuishi imani yake kumkataa Lowassa..! Still bado Lowassa aliisaliti CHADEMA akagoma kuandamana kupinga dhuluma ya kuibiw kura na kurudi CCM kwa maringo eti ni nyumbani..!
  2. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Mpasuko CHADEMA ujio wa Dkt. Slaa, viongozi wagawanyika

    Msaliti mamako aliyemficha babako kwamba wewe ni mtoto wa gesti.
  3. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Heheheh..! Kiranga ungejua kuwa sayansi haijawahi kujibu swali WHY mara zote ina jibu maswali ya HOW ungeacha ubishi. Kifupi sayansi haiundi kitu kipya ndiyo maana haiwezi jibu swali la kwanini mara zote inajibu KWA VIPI/KWA NAMNA GANI.
  4. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Labda uniambie kwanza watafute muarobaini wa wizi ili zikikatwa zitumike kweli..! Gharama unayotumia kwa foleni na kununua vipuri na kuchelewa kazini ni zaidi ya mara 500 ya hiyo sh.100
  5. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    AKA WASIMBE...
  6. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

    YES, MUNGU HUWA ANANJIA YAKE YA KUWAOKOA WATU WAKE, ILA SABABU YA UPUMBAVU WAO WANAWEZA ANGAMIA. CHADEMA HAIKUTAMBUA MAGUFULI ALIKUWA SABABU YA WAO KUIMARIKA NA KUJUA KUJITEGEMEA SASA HIVI WATAKUFA. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  7. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania CCM imetekwa na CHADEMA kwa msaada wa wana CCM wenyewe!

    Kwamba CHADEMA mke mdogo..!!! Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  8. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

    Let me try my luck!.. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  9. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Atheists wana mtindio wa ubongo

    Haya mambo umesomea au unaongea tu..? Kasome inductictive reasoning (syllogism).
  10. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Kanisa lisiruhusu waumini kuoa mke zaidi ya mmoja? Sioni sababu ya kukataza

    Vipi mashekhee wanaorihusiwa kuoa wake wanne kuwadharirisha watoto...?
  11. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

    Hali ya usalama iko safi tu..! TEC
  12. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Wapemba kila sehemu ila wabara Zanzibar Noooo

    Kwenda zao huko, huyu bikirembwe ana mambo ya kijinga mno..! Subiria tumpige fitina nchi ata waichukue upinzani.
  13. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na binti aliyekeketwa...

    Ndiyo kampe babako sasa tuone ..!
  14. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Atheists wana mtindio wa ubongo

    Unadhani haya nayo yasema na kuandika nimepata shuleni..? Najua kwa kuwa tofauti na wewe, na hakika si kwa uwezo wala utashi wangu maana najibu si kwa ufahamu wangu pekee .
  15. KATASAN'KAZA

    JamiiForums Tanzania Atheists wana mtindio wa ubongo

    Sijasema kuhusu kukufikisha kwenye uongo, Mungu anayeongelewa ni True God (Mungu mmoja). Imani usichanye zipo imani nyingi. Imani ya Mungu mmoja inajipambanua vyema.
Back
Top Bottom