Nimekutana na binti aliyekeketwa...

Nimekutana na binti aliyekeketwa...

Mazinzi na maasherati yanateteana. "Biblia inasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
Hamna akili ndio maana kila saa mnawaza ngono, ngono ngono tu.
uzinzi ni dhambi, ila kufanya mapenzi kama ni mkeo sio dhambi, ni tendo takatifu. ukweli usemwe pale palipo nao, imagine unaoa mke afu unakuta hana kiharage, utaishi naye vipi? au viharage utakuwa unavisikia tu kwa wenzio, na kuzini hauruhusiwi? ndio maana tunapinga kukeketa, mnawatesa watoto wenu hata wanapokuja kutaka kutafuta wenza, wanajihisi hawako sawa na wanadamu wengine na wengi huwa hawaolewi kwasababu hata wanaume toka makabila yanayokeketa siku hizi wanapenda kuoa wanawake wenye viharage, vina raha yake. matokeo yake wanawaacha wanawake wa makabila yao waliokeketwa hawana wa kuwaona na ukweli ni kwamba mwanaume anayetoka kabila wasilokeketa hawezi kukubali kuishi na mwanamke aliyekeketwa, labda aawe na upendo wa ajabu sana au Mungu ndio awe amemuambia aishi na huyo mwanamke.
 
Nitolee upuuzi wako nimesoma mistari miwili tu nikaacha
 
Hii kitu inasababishwa na nn??
Screenshot_20221227-211845.jpg
 
Back
Top Bottom