Recent content by katalyo

  1. K

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Muda wa vikao haupo hapa kazi tu vikao ndo vimetufikisha hapo
  2. K

    Makontena kukamatwa inamsaidia nini mwananchi?

    Masikini huyu mtu alikimbia shule hii ndo picha ya watz wengi
  3. K

    Hivi Dr. Magufuli naye ataongea na wazee wa Dar es salaam?

    Hakukuwa na posho za kuwapa
  4. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Hawajui nyerere msikiie tu dogo walikuwa balaa akikuita unaaga kabisa nyumbani
  5. K

    Msaada: Ni wapi pa kuripoti wafanya kazi wa TRA waliojilimbikiza mali?

    Dah kuna kwingine hapa ni shiida tuamnieni turiport wapi acheni utani hii fedha irudi isaidie serkali
  6. K

    Kauli CHAFU za walimu darasani

    Mkifaulu wote humu darasani nani atauza miwa kutoa shamba na kuleta mjini.
  7. K

    Sakata la Makonda kuwaweka ndani watendaji waliochelewa; Mtizamo wa kisheria

    So mnafurahia hao jamaa kuchelewa na wakati ndo wao watengeneza migogoro?hii nchi sijui ya aina gani.tutafika kweli?
  8. K

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Mimi ni ukawa ila kwa staili hii ya pm namuunga mkono wanaopinga hata sijui wanataka nini
  9. K

    Bomoabomoa ya maeneo ya wazi yaendelea leo mtaa wa Basihaya Bunju jijini Dar

    Hapa mza kuna eneo pale nyakato national linaitwa bora imani hiyo uoen imevamiwa ni balaa hakuna hata baikeli kupita njooni na mwanza
  10. K

    Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Manabii wa uongo gwajima alifuta hiyo na ikashindwa
  11. K

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Mtuu mzungumzaji saaana always huwa hawezi kazi but mkimya Mara nyingi hutafakari sana ndo hiyo naiona kwa edo ufisadi ni system ukienda pupa unaondoka unaiacha
  12. K

    Hii imekaaje ya kuja kulipia daraja la Kigamboni?

    Na LA mto Mara na rufiji pia lilipiwe hii ajili gani jamani daraja?
  13. K

    Ni dakika 5 za Lowassa

    mabadiliko yako palepale
Back
Top Bottom