Abby's
Member
- Jun 17, 2015
- 45
- 19
Shuleni mmekuja kukua tu. Du kitambo kweli
=>duh! Noma Sana
Shuleni mmekuja kukua tu. Du kitambo kweli
"Chagua nikupige sakayonsa au zigzaga" hapo hakuna msamaha tena
"Humu darasani kuna maboga ambayo yamebiringishwa na wazazi wao toka nyumbani, muda wa kutoka ukifika yanasubiria waalimu wayabingirishe tena kurudi nyumbani"...

Kama math ni ugonjwa wa taifa paulo utamkosa kweli?Wakati nikiwa katika shule ya msingi baadhi ya kauli za walimu darasani zilizokua zinaniudhi na kunikatisha tamaa ni zifuatazo:-
1. mkimaliza kuongea nambieni niendelee kufundisha.
2. baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3.vichwa vikubwa akili nukta.
Tupia kauli za walimu zikizokua zikikuudhi katika shule ya msingi na sekondari....
Kesho muje na michango hii shule sio ya baba zenu