Recent content by Katabaro_EJ

  1. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania TAHLSO Jisahihisheni kazi yenu ni kutetea maslahi ya wanafunzi wa vyuo

    Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati hapa Tanzania (TAHLSO) ilianzishwa ili iweze kutetea maslahi ya wanafunzi wa vyuo. Bahati mbaya kwa sasa TAHLSO siyo chombo tena cha kushughulika na masuala ya wanafunzi bali ni chombo cha kueneza propaganda za watawala. Hivi karibuni kumekuwepo...
  2. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

    Hapa mkuu umetupiga kamba ya wazi wazi! Bora ingekuwa mtandao mwingine ila airtel app yao mpaka hiyo SIM card ndio iwe kwenye simu ndipo unaweza ku-access accout ya Airtel money na account ya Airtel. Mitandao mingine first time registration ndipo inakuhitaji weke SIM card kwa hiyo simu...
  3. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Mlisema Hayati Magufuli amekata miti milioni 3 mvua hazitanyesha

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
  4. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Mlisema Hayati Magufuli amekata miti milioni 3 mvua hazitanyesha

    Kweli ni jalala kama ulivo!
  5. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ulitaka iwe shilingi ngapi?
  6. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Story ya kijana mmoja mwenye ndoto kubwa

    Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro. Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro. Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
  7. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Bei ya alizeti

    Asante sana mkuu!
  8. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Bei ya alizeti

    Habari wakuu! Poleni na majukumu! Naomba kuuliza kama kuna mwenye anajua recent price ya alizeti aweze kuni-update
  9. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Paul Kagame ashinda kwa kishindo kuendelea kuwa Rais

    Atakayekuja kusema kuwa Kagame ni dictator kwanza aende Rwanda akaongee na baadhi ya wananchi katika makabila yote matatu ya Rwanda kuhusu Kagame! Akirudi ndo aseme ya kwamba kagame ni dictator
  10. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

    Ningechangia ila hata kuangalia trend ya conversation ni mchango tosha
  11. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Idadi ya wanaomkubali rais Magufuli yashuka kutoka asilimia 96 hadi 71 mwaka huu

    Wasiojitambua ndo wanasema itashuka! Ccm wameharibu elimu purposely wapate kuungwa mkono na mazwizwi
  12. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Ndalichako ajiuzulu kuinusuru elimu Tanzania?

    Nahisi uko nje ya mfumo wa elimu na hujui nini umeandika na hujawahi kwenda pale Mwenge
  13. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli Madarakani umetosha kumzika Lowassa kisiasa

    Juice ya kijani inalewesha!
  14. Katabaro_EJ

    JamiiForums Tanzania Nikajiuliza, Waziri alifuata nini Ikulu?

    Tupe risiti ya mauzo
Back
Top Bottom