Habari wanajamvi,
Leo nakuja na ushauri wa kumtaka huyu mama aachie ngazi kwani amekuwa akiyumba sana, kwa kutomueleza mkuu uhalisia wa elimu nchini.
Huyu mama kwa mda mchache aliopewa wizara pamoja na uprofesa wake amesababisha mengi katika sekta ya elimu;
>Wanafunzi vyuo kukosa mikopo
>Wanafunzi wanaosoma kwa nje ya nchi kuwanyima mikopo
>Kufuta vyuo bila utafiti maalum na hivyo kuisababishia serikali kukosa kodi
>Kushindwa kuajili walimu
>Baya zaidi jana anasema wakurugenzi wawahamishe walimu walioko mjini
>Tatizo sio kuhamisha, tatizo hawapo, na yeye hamuambii mkuu ukweli kwa kuogopa kutumbuliwa.
Tunachoomba jiuzulu utuachie wizara yetu iliyokuwa ikiajiri kila mwaka Sayansi na Sanaa, huku mambo yakienda, nyie mmetoa walimu hewa halafu hamuajiri kisha unaendelea kubaki.
Achia ngazi mama, uwaziri sio haki yako ya msingi, hata ukaeje, kwa ulivyovurunda na kaubunge ka kupewa, utaachia tu.
Fadhila zinamwisho.