Recent content by Kataa wahuni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii mikwaruzano ya ukatoliki na serikali haiwezi kuamsha chuki baina ya wakatoliki na waislam?

    unamfaham askof shoo ?Askof kabobe ?Askof severin niwemugizi ? Askof bagonza Ebu wafuatilie enzi za Jpm walikuwaje then lete mrejesho
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

    wahuni lazima tuwakatae
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

    ile dawa kunenepesha sio kazi yake ile inaongeza hamu ya kula, kunenepa ni matokeo ya kula zaid
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

    ok but anaweza kutumia pharmactin syrup itasaidia pia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

    kwann haiwezekani ?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa mtoto anayesumbua kula!!

    Ninassugest atumie cyproheptadine(abitol) 4mg nocte 5/7 I hope italeta matokeo mazuri
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    wewe pia unaifanya hii ?
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    ok ntakupa mrejesho mkuu
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    ok soon as possible nitaanza hii biashara rasmi
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    Duuuuh hapo sasa ni kipengele
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    mimi nko kondoa mjin naona 4G network ndio iiyopo kwa mitandao yote kwa iyo nikinunua airtel 5G router haitanisumbua network
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Nyie machawa mbona mnatapatapa hamjiamin tatizo nini
  13. K

    JamiiForums Tanzania Polepole tunakupata mitaa Gani Facebook, YouTube,au insta?

    kataa wahuni
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya wifi internet router mtaani

    Habari zenu wakuu kama heading inavojieleza hapo juu, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya wifi internet mtaani kwa kupitia router na kuwalipisha wateja kwa masaa Ninaomba kuuliza je kisheria iko sawa, pia kuna changamoto gan katika hii biashara Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom