Kataa wahuni
Member
- Jul 21, 2025
- 16
- 20
- Thread starter
- #41
Duuuuh hapo sasa ni kipengeleTCRA wanataka upate leseni, application fee ya leseni ni 150k, leseni ni kama 450k hivi kwa mwaka na kuendelea kulingana na ukubwa wa eneo unalotaka kutoa huduma. Hata kama ukipata wateja 2 wakikukamata unauza bila vibali unajumuishwa na wahujumu uchumi.
All the best.