Recent content by kasulamkombe

  1. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Wake zangu wamezidi wivu, kila mmoja anataka kuthaminiwa zaidi ya mwenzie

    inaelekea shughuri yako ni nzito.una mtambo wa kurekebisha tabia na hawataki huo mtambo urekebishe wote.wewe ongeza mwingine mambo yatakuwa poa kwani wawili wataungana
  2. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Mwanamke gani ungependa umuoe?

    mwenye tabia kama ya MUNA LOVE ndiye anafaa kuolewa
  3. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Urais 2020: Makala hii ni nzuri ila imeharibiwa na jina la Makamba kwani CCM ni ile ile na sijui kwanini hatujifunzi

    Hivi ZITO na MAKAMBA wanakubalika na kuuzika soko lipi?achana na bangi zenu za mchana.Eti ZITO ni mzalendo duh hiyo kali pale NSSF Kaacha madudu
  4. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, kwanini wanakukejeli badala ya kukukumbuka weledi wako?

    eti unamkabidhi mchawi akulelee mtoto hata mimi nilishangaa mbona hamtoi.Hongera MAGU
  5. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Ya Mwigulu Nchemba si ndwele. Huu ndo ushauri wangu kwa Mh. January Makamba (Mb)…

    hapo ndio Magu huwa ananipa raha anapiga kwenzi wote na wanafiki wote nje bado makamba.Nchi itakuwa safi tu na Rais ajaye hajawahi hata kuwa mbunge.watu wote wa siasa nje
  6. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Natamani kujiua baada ya kugundua alinibambikia mtoto

    muangalie vizuri hata mama yako inawezekana baba yako sio unayemjua wedwe.hawa kina mama ni hatari sana wewe kubaliana na hali tu
  7. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali: Kinana amenidhulumu shilingi milioni 12.5

    MWELE MALCHELA+LE MUTUZ+LUSINDE=Akili za Kigogo
  8. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Sijui tunaelekea wapi, Timu za kibongo kusajili wachezaji kutoka nje ya Africa Mashariki na kati

    BANGI NYINGI VICHWANI KWA WACHEZAJI NA VIONGOZI
  9. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Simba vs Everton itaonyeshwa channel gani hapa bongo

    HAJI MANARA TV
  10. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa fangasi na mdada mzuri sana, sikutegemea!

    kwanini ulizima taa !!
  11. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu ni jinsi gani Watu wa Mitandaoni wanakamatwa kirahisi kama Kuku na Mamlaka

    hizo mbinu mona zimeshindwa kumkamata MAGE KIMAMBE
  12. kasulamkombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoteli za Mara zimefurika watalii hakuna tena nafasi, wote wamekuja kushangaa nyumbu

    mimi nikajua ni nyumbu watu toka Tanzania
  13. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu inayonuka kama Magogoni njia ya kuelekea ferry kwenye kivuko

    mavi toka maghorafani huwa hayanuki bali yananukia.Makao makuu ya kikwapa yapo kule!
  14. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Site ambayo naweza kupata wateja wa hotel/hostel wa nje

    hostel ipo wapi
  15. kasulamkombe

    JamiiForums Tanzania Yanga yakwepa fedheha kwa Simba, yajitoa CECAFA Kagame Cup

    Hapo ndio naamini viongozi wengi wa Yanga kichwani hakuna kitu!!! Utamuogopaje mpinzani wako hata kabla ya kuingia ulingoni huo ni udhaifu wa hali ya juu sana.YANGA wangeweza kutumia mechi hiyo kujiingizia kipato kwani kwasasa wamefulia na mashabiki wao hata kwenda uwanjani wanaona aibu, pili...
Back
Top Bottom