Nimekupata DANNY JULLY lakini hoja zangu hazijasema kuwa rais yupo juu ya sheria ila amepewa madaraka makubwa kiasi ambacho anauwezo wa kufanya maamuzi yoyote kwa mwamvuli wa katiba kuhusu jambo lolote na mtu wa kawaida(ordinary person)anaweza kusema kuwa anafanya maamuzi ya kidikteta...
Naomba uelewe bosi Rais haitumii katiba kuwa dicteta ila imempa madaraka makubwa kiasi ambacho maamuzi anayoyafanya unaweza kusema ni dicteta.Wewe unatakiwa ulie na kupigania mabadiliko ya katiba na si kusema Rais dicteta haitasaidia kitu[emoji56]
Mimi kama msomi wa Sheria ninakushauri wewe pia na wa TZ wote kwa ujumla sambamba na kudai kuwa Rais wetu ni dicteta hauna budi kabla hujajidhatiti na kauli hiyo uisome vizuri katiba hususani isome na uielewe ibara ya 36 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977,hakika katiba hii...
Kabla haujaishtaki hakikisha unavigezo hivi:
1)Locus Stand(interest):kwa maana unamaslahi yoyote katika kiini cha kesi aidha maslahi binafsi au unamaslahi kwa niaba ya Watanzania.
2) Unapotaka kuishtaki Serikali hususan serikali kuu lazima ufuate taratibu za Government Proceedings Act No 05[re...
Suala hilo limeegemea katika Sheria ya Ajira na Uhusiano kazini(Employment and Labour Relations Act No.06 of 2004) na pia sheria ya Labour Institutions Act No.07 of 2004 vilevile na sheria ya Employment and Labour Relations( Code of Good practice )Rules GN. No.42 of 2007.Hivyo kwa kuzingatia...
Si kweli,na kwanin uamini maneno ya kusikia,daima kisheria maneno ya kusikia kwa mtu mwingine hayazingatiwi(heresay is not admissible under the law).Rejea sheria ya Ndoa Sura Ya 29 iliofanyiwa marekebisho 2010,kifungu cha 160(1) inasema mwanamke na mwanaume walioshi miaka 2 na jamii iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.