Recent content by kassamali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Regulations za civil procedures na criminal procedures

    Habarinin za jini Jamani mwaka jana zimetoka regulations za civil procedures na Criminal Procedures mwenye nazo tafadhali nirushie anthonyalnashir@gmail.com
  2. K

    JamiiForums Tanzania Real estate and corporate consulting

    Habari za jioni Tunatoa huduma za ushauri kwa masuala yafuatayo Real Estate 1)Uhamisho wa miliki ya Nyumba,Kiwanja (Transfer)Kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine 2)Utayarishaji wa Hati kuanzia kupima kiwanja mpaka hati 3)Tathmini ya kiwanja au nyuma (Property Valuation) 4) Processing of Unit...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Uthamini wa Fidia

    Karibuni tushare issues mbalimbali zinazohusiana na fidia hasa wakati Serikali inahitaji eneo lako kwa ajili ya manufaa ya Umma Unaweza kupakua hicho kitabu YALIYOMO Sehemu ya Kwanza: Utangulizi na Dhana ya Fidia 1.0 Utangulizi 2.0 Dhana ya Fidia Sehemu ya Pili: Misingi na Kanuni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri

    Mkuu kwa faida ya watu wengine pia hebu weka maelezo yawezekana ikawa good option Nataka kuitumia hapa hapa Dar Temeke
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri

    Habari za asubuhi Natafuta Suzuki Carry yenye hari nzuri ya kukodi kwa mwezi,mafuta kwangu na service kwa ajili ya kusambazia bidhaa zangu budget yanu ni 200,000/- kwa mwezi Asanteni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tender ya kusuply mkaa

    Inategemea na ulipo mfano ukiwa kwa nyerere pale mikocheni B panda basi linalokwenda kawe ukivuka daraja kituo kinachofuata JKT au muulize mtu yoyote palipo na royal bakery kawe Huu mkaa umetengenezwa special kwa kupikia so kila kitu kimeangalia hauna uwezo wa kutoboa sufuria
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tender ya kusuply mkaa

    0765 939303
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tender ya kusuply mkaa

    Mkuu sisi tupo kawe opposite jkt Unaweza kutucheki hapa 0765 93939
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tender ya kusuply mkaa

    Habarini za Jioni Natafuta tender kwenye indtitutions zozote ya kysuply mkaa wa kupikia kwenye mifuko kilo -11 bei 28000 kwa mfuko.kwa kupikia ttu unahitaji robo kilo bila kuongeza chochote
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tuna-supply Kitimoto

    Tunasuply frozen kiti moto kwa mwezi uwezo wetu wa kusuply kwa jumla tu kuanzi tan 25 hadi 250 kilo moja sh 6000/- Kwa watu serious tu unipm kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu hayatajibiwa Asante
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Supplier (msambazaji) wa kuku wa kizungu

    Happy new year Nahitaji suplier wa kuku 2000 kwa wiki only serious people ni pm for further discussion
  12. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara (kiwanda cha tooku) EPZ - Dar

    Usitetee wawekezaji kila kitu laza kiwe win win situation hasa wawekezaji wa kichina wanyonyaji sana unapotala kuanzisha investment yoyote lazima awe ameshafanya feasibility ya kutosha ikiwemo mishahara ya wafanyakazi kufanya kazi kiwandani kwa huo msharahara basi wewe na wawekezaji wako hatuwataki
  13. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Kaka nipo dar unao kiasi gani!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Itaplewa mtoto wa kike wacha watu wafanye kazi au umeona hili jukwaa la watoto huwezi kuchangia nenda kamsaidie mama kuosha vyombo
  15. K

    JamiiForums Tanzania Soko la ufuta

    Nipo dar
Back
Top Bottom